Suprise
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 2,696
- 1,063
hebu njoo tuvutane.....
vin diesel , r u lonely, kwa nini unaidhulum nafs bana
hebu njoo tuvutane.....
mosi,nimependa uungwana wako wa kuomba radhi kwa aina yako ya uandishi wa mwanzo,safi sana.pili,nimestaajabu na hitimisho lako,ambalo nahisi limetokana na experience yako.kilichostaajabisha ni muda:miaka mitatu una mtu,miaka miwili na nusu upo 'single' na bdo haijaweza futa 'sumu' uliyotema.ntarudi
CLEAN VERSION; samahann' wakubwa..
Wadau mpo vizuri...☑
Mpaka kufunguka hapa kuna ishu imenipata..҉
Nimepitia experience kidogo ya kuwa single kwa takribani 2 and a half years.. Since 2010 to 2012 {june}...
Asikueleze mtu eti "I'm going on well since I left her/him"- ni uongo mtupu. Na kama kweli ujue alikuwa na mtu wa pembeni.
{PROVE ME WRONG}
Kama ulishazoea kila asubuhi msg 3.. Mchana msg 4... Usiku msg 5.. For 3years then kimya...{Brek-up}
Kutoka Out + spending kwa week mara 2 ... Then kimya..
{Uta-hang sana na friends' lakini later watakuacha ama utachoka with that kind of style..
SEX... Kwa wapenda sex; wale wa
premier league {yani monday- wednesday- friday- weeknd hotelini} ndio itawacost au kuumia sana..
At first utavumilia... Kisha utachoka,
then plan A: uta-find wale maji mara-moja{umekutana nae leo, umegonga leo} Utawachoka kwakuwa si wa relationship...
Then plan B: malaya.... Utapiga sana..sana... Bt utaona kuna kitu kimepungua au unamiss...
Men it pains a lot than you can imagine...
So better be someone's joy..©
Samahann' nadhani inaeleweka...
kweli usemalo...ndio maana watu wakibreak up lazima tuu atatafuta mpenzi mpya maana kashazoea kuwa na mtu na kautamu kale hkakose tena loh!!
bora mie sinawahi kuwa na gf so malaya nagonga na sioni ninachokosa...duh!! kweli niliona mbali hapo wacha nijisifu
kweli usemalo...ndio maana watu wakibreak up lazima tuu atatafuta mpenzi mpya maana kashazoea kuwa na mtu na kautamu kale hkakose tena loh!!
bora mie sinawahi kuwa na gf so malaya nagonga na sioni ninachokosa...duh!! kweli niliona mbali hapo wacha nijisifu
vin diesel , r u lonely, kwa nini unaidhulum nafs bana
kweli me ndo siwezi kukaa even nusu saa bila bf,akisepa navuta wa mbele yangu, i cant b lonely aiseee
Mzee huna demu? You always purchase them!!
usingle unaboa sana aisee unajihisi you are alone around theworld ,ujue ukipata hani mlieshibana weee asikwambie mtu hakuna faraja kama upendo wa kweli bana you feel satisfied yani heeeCLEAN VERSION; samahann' wakubwa..
Wadau mpo vizuri...☑
Mpaka kufunguka hapa kuna ishu imenipata..҉
Nimepitia experience kidogo ya kuwa single kwa takribani 2 and a half years.. Since 2010 to 2012 {june}...
Asikueleze mtu eti "I'm going on well since I left her/him"- ni uongo mtupu. Na kama kweli ujue alikuwa na mtu wa pembeni.
{PROVE ME WRONG}
Kama ulishazoea kila asubuhi msg 3.. Mchana msg 4... Usiku msg 5.. For 3years then kimya...{Brek-up}
Kutoka Out + spending kwa week mara 2 ... Then kimya..
{Uta-hang sana na friends' lakini later watakuacha ama utachoka with that kind of style..
SEX... Kwa wapenda sex; wale wa
premier league {yani monday- wednesday- friday- weeknd hotelini} ndio itawacost au kuumia sana..
At first utavumilia... Kisha utachoka,
then plan A: uta-find wale maji mara-moja{umekutana nae leo, umegonga leo} Utawachoka kwakuwa si wa relationship...
Then plan B: malaya.... Utapiga sana..sana... Bt utaona kuna kitu kimepungua au unamiss...
Men it pains a lot than you can imagine...
So better be someone's joy..©
Samahann' nadhani inaeleweka...
My dia swali la kizushi...!!!!!WHAT'S YOUR NUMBER??maana kwa stail yako i cant imagine!!!!!
cjakuelewa hapa nichoree picha kama vipi
maisha yana stress bila suprise cku haziendi ila ndo ujipange ukizingua ujue fasta kwa subsitute