wish ngekua talented kuchora ngekuwa mwalimu mzuri..!!!:focus: whats your namba means hw many relationships utakua umepitia kama unastail ya kuacha kila siku na kutafuta mwingine????
me siwezi kukuzingua....kama libeneke waliweza itakuwa vizuri maana mwenzio alikimbia shughuli...
Samahann' hujaeleweka.......kama ungetumia muda wa kuweka visign kuirekebisha ningetoa maoni kwa NabiiCLEAN VERSION; Samahann' nadhani inaeleweka...
kwa hilo usijali ila utakua na kazi ya ziada kunipa hizo pumzi
like this,triiim..triiim...triiiiii..trim
Wengi wanasema wako single wakiwa na maana kuwa hawana mtu permanent; ila kama ni mechi wanacheza kama kawaida.
Wewe naona unaongelea u single wa kweli kweli....sijuhi kama wamo humu ambao ni single SINGLE.
Ndio maana kuna kijana wa kipindi cha Salama alinifurahisha sana alipokuwa ana wa challenge wasaniii wenye majibu 'niko single' kwani ali equate na wana wapenzi wengi ndio maana hawawezi declare uhusiano wao publicly kwani hawajuhi wamtaje nani na kama huyo nani atafurahi kutajwa au atamkana through magazeti ya udaku.[/QUOTE
tupo sana tu.100% SINGLE
Msameheni ana stress za kuwa single huyoUandishi wa kipumbavu namna hii fanya na rafiki zako kule facebook, hapa usilete Ushauharo.
Uandishi wa kipumbavu namna hii fanya na rafiki zako kule facebook, hapa usilete Ushauharo.