Inauma hivi kuwa single...

Inauma hivi kuwa single...

Lazarus

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2012
Posts
364
Reaction score
94
CLEAN VERSION; samahann' wakubwa..
Wadau mpo vizuri...☑
Mpaka kufunguka hapa kuna ishu imenipata..҉
Nimepitia experience kidogo ya kuwa single kwa takribani 2 and a half years.. Since 2010 to 2012 {june}...
Asikueleze mtu eti "I'm going on well since I left her/him"- ni uongo mtupu. Na kama kweli ujue alikuwa na mtu wa pembeni.
{PROVE ME WRONG}
Kama ulishazoea kila asubuhi msg 3.. Mchana msg 4... Usiku msg 5.. For 3years then kimya...{Brek-up}
Kutoka Out + spending kwa week mara 2 ... Then kimya..
{Uta-hang sana na friends' lakini later watakuacha ama utachoka with that kind of style..
SEX... Kwa wapenda sex; wale wa
premier league {yani monday- wednesday- friday- weeknd hotelini} ndio itawacost au kuumia sana..
At first utavumilia... Kisha utachoka,
then plan A: uta-find wale maji mara-moja{umekutana nae leo, umegonga leo} Utawachoka kwakuwa si wa relationship...
Then plan B: malaya.... Utapiga sana..sana... Bt utaona kuna kitu kimepungua au unamiss...
Men it pains a lot than you can imagine...™
So better be someone's joy..©

Samahann' nadhani inaeleweka...
 
Duu, umeweka vifupisho vingiii na vimsatari kibao kiasi kwamba nimepata taabu sana kukuelewa, ngoja waje watu wengine wanitafsirie.
 
Wadau mpo vizuri...☑
Mpaka kufunguka hapa kuna ishu imenipata..҉
Nimepitia experience kdg ya kuwa single kwa takribani 2 n half yrs.. Sinc 2010- {june}2012... Asikueleze mtu eti "I'm going on well cnc I left her/him"- ni uongo mtupu. Na kama kweli ujue alikuwa na mtu wa pembeni.
{PROVE ME WRONG}
Kama ulishazoea kila asbh msg 3.. Mchana 4... Usiku 5.. For 3yrs then kimya...
Outing+spending per week 2wyc' ... Then kimya..{Uta-hang sana na friends' bt later watakuacha ama utachoka tht kind of style..
SEX... Kwa wapenda bembea wale wa
premier league {yani mndy- wndsy- frdy- wknd ugenini} ndio itawacost.. At first utavumilia...then plan A: uta-find wale maji mara-moja.. Utawachoka coz c wa rltnshp...
Then plan B: michat, sahani, samaki, nyama, serengeti boys, changu, mlupo, malaya.... Utapiga sana..sana... Bt utaona kuna smthn' unamic...
Men it pains a lot thn u cn imagine...™
So bttr b sm1's joy..©
Thanx... Km umeniielewa..®
Uandishi wa kipumbavu namna hii fanya na rafiki zako kule facebook, hapa usilete Ushauharo.
 
Wengi wanasema wako single wakiwa na maana kuwa hawana mtu permanent; ila kama ni mechi wanacheza kama kawaida.

Wewe naona unaongelea u single wa kweli kweli....sijuhi kama wamo humu ambao ni single SINGLE.

Ndio maana kuna kijana wa kipindi cha Salama alinifurahisha sana alipokuwa ana wa challenge wasaniii wenye majibu 'niko single' kwani ali equate na wana wapenzi wengi ndio maana hawawezi declare uhusiano wao publicly kwani hawajuhi wamtaje nani na kama huyo nani atafurahi kutajwa au atamkana through magazeti ya udaku.
 
Inawezekana sana. La msingi n muhimu 'Don't Burn The Bridge' 2 Basiii

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Uandishi wa kipumbavu namna hii fanya na rafiki zako kule facebook, hapa usilete Ushauharo.

bora umemwambia bana mpaka inakera kama siyo kutia kinyaa hata kuisoma, JF siyo fb dude! dah utafikiri unafanya note taking kwenye lecture bana
 
uandishi wako ndg, next time jitahidi kuandika vizuri maana humu jukwaani kuna watu wazima ambao hawaelewi hivyo vifupisho vyako vya kifacebook!!!!!!!!!!
 
kweli me ndo siwezi kukaa even nusu saa bila bf,akisepa navuta wa mbele yangu, i cant b lonely aiseee


hahaha umenifurahisha haswa, na huyo wa mbele unaemvuta akiwa kimeo, unambwaga unavuta nyingine, oohh yeah, life is too short!
 
Back
Top Bottom