Inatosha, kuna haja ya kuchukua hatua dhidi ya "Wasiojulikana"

Noel france

JF-Expert Member
Oct 8, 2012
998
736
Ndugu zangu, kuna haja ya kuchukua hatua dhidi ya watu wasio julikana ama wale wanaokuja kwa njia ya askari polisi. Wanakuchukua kisha wanakuua alafu hakuna jitihada zozote kutoka kwa vyombo vyetu vya usalama.

Hii inatosha ama mnataka nani atekwe kisha ndiyo tuje kuona kazi nzuri ya serikali kupitia vyombo vyake vya usalama vikifanya kazi.

Binafsi naona inatosha Sasa, inabidi pale inapotokea wasiojulikana wanaokuja kwa gia ya usalama ni kumalizana nao kwa njia ya kujihami.

Ikibidi kufa ni heri kuliko kufa ukiwa mbali na watu wanaokujua ama pasipo kuonekana umekufa na pia hutopitia mateso mengi kama ukitekwa nao.

 
Ukisikiliza hii ndiyo utaelewa, hatupaswi kufumba macho na Wala kuziba masikio tena. Asilimia kubwa ya watanzani hatuna amani na Wala hatupo huru.
 
Ndugu zangu, kunahaja ya kuchukua hatua dhidi ya watu wasio julikana ama wale wanaokuja kwa njia ya askari polisi. Wanakuchukua kisha wanakuua alafu hakuna jitihada zozote kutoka kwa vyombo vyetu vya usalama.
Hii inatosha ama mnataka nani atekwe kisha ndiyo tuje kuona kazi nzuri ya serikali kupitia vyombo vyake vya usalama vikifanya kazi.

Binafsi naona inatosha Sasa, inabidi pale inapotokea wasiwijulikana wanaokuja kwa gia ya usalama ni kumalizana nao kwa njia ya kujihami. Ikibidi kufa ni heri kuliko kufa ukiwa mbali na watu wanao kujua ama pasipo kuonekana umekufa na pia hutopitia mateso mengi kama ukitekwa nao.
Duh...
 
Kiukweli inaumiza sana labda uombe mungu aendelee kuwepo upande wenu, Ili jinamizi la wasiojulikana lisikukute.
 

Attachments

  • Screenshot_20240423-074810.png
    Screenshot_20240423-074810.png
    415.8 KB · Views: 1
Kweli hao ni majambaz wananchi wanatakiwa kudeal nao kama majambaz wengine
Kiukweli tunahitaji kupaza sauti zetu zaidi na ikibidi hatua tuchukue sisi wenyewe wananchi. Pasipo kutegemea wanasiasa ambao ni wanufaika wa haya matukio dhidi ya raia wengine wenye mtazamo tofauti na wao.
 
Baadhi ya maoni ya wadau mbalimbali kule jamhuri ya X
 

Attachments

  • Screenshot_20240423-081517.png
    Screenshot_20240423-081517.png
    195.9 KB · Views: 1
  • Screenshot_20240423-081501.png
    Screenshot_20240423-081501.png
    151.5 KB · Views: 1
Kuna mtu anahoji kuhusu kuhusika kwa Mh rais wetu. Anashindwa kuelewa mamlaka ya Rais
 
Haya matukio yatoshe sasa
 

Attachments

  • IGP_Sirro,_mwanachama_wetu_Peter_Mtinangi_anasimuliwa_alivyo_pigwa_na_Mbunge_wa_CCM,_Elibariki...mp4
    3.2 MB
  • Screenshot_20240423-083425.png
    Screenshot_20240423-083425.png
    355.7 KB · Views: 1
Back
Top Bottom