GABRAISON5
JF-Expert Member
- May 13, 2013
- 207
- 43
Man u chama langu toka ktambo.nilikuwa najivunia kuwa shabiki wa hii klabu niliogopwa na kila timu pale uingereza ulaya na dunian kote waliniheshimu ila moyes tangu umeichukua timu kila mtu anakuja ot anafanya yake anaondoka.nasema inatosha
Pole ila unahisa ngapi man u?Man u chama langu toka ktambo.nilikuwa najivunia kuwa shabiki wa hii klabu niliogopwa na kila timu pale uingereza ulaya na dunian kote waliniheshimu ila moyes tangu umeichukua timu kila mtu anakuja ot anafanya yake anaondoka.nasema inatosha
NIONAVYO MIMI:KUFUATIA UNITED 0-1 EVERTON PALE SHAMBA LA BIBI.Man u chama langu toka ktambo.nilikuwa najivunia kuwa shabiki wa hii klabu niliogopwa na kila timu pale uingereza ulaya na dunian kote waliniheshimu ila moyes tangu umeichukua timu kila mtu anakuja ot anafanya yake anaondoka.nasema inatosha
Man u chama langu toka ktambo.nilikuwa najivunia kuwa shabiki wa hii klabu niliogopwa na kila timu pale uingereza ulaya na dunian kote waliniheshimu ila moyes tangu umeichukua timu kila mtu anakuja ot anafanya yake anaondoka.nasema inatosha
Hii ndio inaitwa EPL, yashapita hayo...wagange yajayo....huwezi kumfundisha Moyes kaziNIONAVYO MIMI:KUFUATIA UNITED 0-1 EVERTON PALE SHAMBA LA BIBI.
Smalling jana amemfutia aibu sana Nemanja Vidic,Lukaku alikuwa anamgeuza vyovyote anavyotaka na kuelekea golini kwa De Gea then Smalling ana-block mipira ya Lukaku!
Kumchezesha Rooney kama striker pekee ni sawa na Lory kuliwekea lita moja ya mafuta,jana Moyes katumia robo ya nguvu za Rooney.Ni bora Shabaranks angecheza striker,Giggs akaanza kushoto na Rooney akacheza dimba la juu.
Baada ya Vallencia kushindwa kumpita Bryan Oviedo,Moyes alifanya sub nzuri ya kumuingiza Januzaj na alionekana kuleta uhai.Ukiondoa Rooney,RVP na De Gea wachezaji wote wanaobaki ni kama hawaitendei haki united!
United sio mbaya kiivyo,moyes anashindwa kupanga kikosi kutoka na ubora wa timu pinzani.James McCarthy na Gareth Barry walitisha sana jana.
Kumchezesha Giggs dimba inategemea unacheza na timu gani,Giggs angeanza winga ya kushoto,Rooney na Mawigi kwenye dimba.Kagawa na chicharito washambuliaji,Vallencia beki na Januzaji winga.
Asante Roberto Martinez kwa kuandika historia mpya!
mtazoea tu..Man u chama langu toka ktambo.nilikuwa najivunia kuwa shabiki wa hii klabu niliogopwa na kila timu pale uingereza ulaya na dunian kote waliniheshimu ila moyes tangu umeichukua timu kila mtu anakuja ot anafanya yake anaondoka.nasema inatosha
forza la the citizenshalafu kutokea mlipo kwenda mbele mnahitaji 12 points na kurudi nyuma points 14, wapi rahisi kuelekea?
jmosi Newcastle mnaenda kwao kupakatwa.....teh teh teh teh....
MAN City tupppooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo!!!!!!!!!!
forza la the citizens
ilipo washinda WB jana...!Inanifurahisha kuona city imepeta mashabiki hadi tanzania iseee sio mchezo ila nadhani ni uoga tu wa kushabikia timu zenu za zamani ...nigeomba uniambie hapo kabla ulikua unashabikia timu gani au ndo we ni wa juzi tu hapa wakati man city inanunuliwa na wauza mafuta ndo muda wewe ukaanza kushabikia mpira.
NIONAVYO MIMI:KUFUATIA UNITED 0-1 EVERTON PALE SHAMBA LA BIBI.