Inatosha David Moyes, nasema inatosha

GABRAISON5

JF-Expert Member
May 13, 2013
207
43
Man u chama langu toka ktambo.nilikuwa najivunia kuwa shabiki wa hii klabu niliogopwa na kila timu pale uingereza ulaya na dunian kote waliniheshimu ila moyes tangu umeichukua timu kila mtu anakuja ot anafanya yake anaondoka.nasema inatosha
 
Timu imegota hii. Hata kubet upande wake unaogopa! Watu wanaenda kucheck mechi ya man huku juu wamevaa jezi ya man city,ndani ya man u.
 
ilisha kila siku mnataka mcheke nyie tu kwani wengine hatuna haki?,sasa hivi na sisi ni zamu yetu!

Wazoefu na hii hali watusaidie ushauri basi
 
halafu kutokea mlipo kwenda mbele mnahitaji 12 points na kurudi nyuma points 14, wapi rahisi kuelekea?
jmosi Newcastle mnaenda kwao kupakatwa.....teh teh teh teh....

MAN City tupppooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo!!!!!!!!!!
 
Man u chama langu toka ktambo.nilikuwa najivunia kuwa shabiki wa hii klabu niliogopwa na kila timu pale uingereza ulaya na dunian kote waliniheshimu ila moyes tangu umeichukua timu kila mtu anakuja ot anafanya yake anaondoka.nasema inatosha
Pole ila unahisa ngapi man u?
 
Man u chama langu toka ktambo.nilikuwa najivunia kuwa shabiki wa hii klabu niliogopwa na kila timu pale uingereza ulaya na dunian kote waliniheshimu ila moyes tangu umeichukua timu kila mtu anakuja ot anafanya yake anaondoka.nasema inatosha
NIONAVYO MIMI:KUFUATIA UNITED 0-1 EVERTON PALE SHAMBA LA BIBI.

Smalling jana amemfutia aibu sana Nemanja Vidic,Lukaku alikuwa anamgeuza vyovyote anavyotaka na kuelekea golini kwa De Gea then Smalling ana-block mipira ya Lukaku!

Kumchezesha Rooney kama striker pekee ni sawa na Lory kuliwekea lita moja ya mafuta,jana Moyes katumia robo ya nguvu za Rooney.Ni bora Shabaranks angecheza striker,Giggs akaanza kushoto na Rooney akacheza dimba la juu.

Baada ya Vallencia kushindwa kumpita Bryan Oviedo,Moyes alifanya sub nzuri ya kumuingiza Januzaj na alionekana kuleta uhai.Ukiondoa Rooney,RVP na De Gea wachezaji wote wanaobaki ni kama hawaitendei haki united!

United sio mbaya kiivyo,moyes anashindwa kupanga kikosi kutoka na ubora wa timu pinzani.James McCarthy na Gareth Barry walitisha sana jana.

Kumchezesha Giggs dimba inategemea unacheza na timu gani,Giggs angeanza winga ya kushoto,Rooney na Mawigi kwenye dimba.Kagawa na chicharito washambuliaji,Vallencia beki na Januzaji winga.

Asante Roberto Martinez kwa kuandika historia mpya!
 
Njoo darajani ama kama una nguvu na physic njoo Emirate upate raha
 
Hii ndio inaitwa EPL, yashapita hayo...wagange yajayo....huwezi kumfundisha Moyes kazi

2mw72ww.jpg
 
Ha ha ha haaaa!Mlikuwa mnatucheka chelsea kwa kutimua makocha mara kwa mara, haya ngoja tuone sasa na nyie kama mtaendelea kuulea huu mzigo (Moyes)
 
Man u chama langu toka ktambo.nilikuwa najivunia kuwa shabiki wa hii klabu niliogopwa na kila timu pale uingereza ulaya na dunian kote waliniheshimu ila moyes tangu umeichukua timu kila mtu anakuja ot anafanya yake anaondoka.nasema inatosha
mtazoea tu..
 
halafu kutokea mlipo kwenda mbele mnahitaji 12 points na kurudi nyuma points 14, wapi rahisi kuelekea?
jmosi Newcastle mnaenda kwao kupakatwa.....teh teh teh teh....

MAN City tupppooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo!!!!!!!!!!
forza la the citizens
 
forza la the citizens

Inanifurahisha kuona city imepeta mashabiki hadi tanzania iseee sio mchezo ila nadhani ni uoga tu wa kushabikia timu zenu za zamani ...nigeomba uniambie hapo kabla ulikua unashabikia timu gani au ndo we ni wa juzi tu hapa wakati man city inanunuliwa na wauza mafuta ndo muda wewe ukaanza kushabikia mpira.
 
ilipo washinda WB jana...!
 
NIONAVYO MIMI:KUFUATIA UNITED 0-1 EVERTON PALE SHAMBA LA BIBI.

Smalling jana amemfutia aibu sana Nemanja Vidic,Lukaku alikuwa anamgeuza vyovyote anavyotaka na kuelekea golini kwa De Gea then Smalling ana-block mipira ya Lukaku!

Kumchezesha Rooney kama striker pekee ni sawa na Lory kuliwekea lita moja ya mafuta,jana Moyes katumia robo ya nguvu za Rooney.Ni bora Shabaranks angecheza striker,Giggs akaanza kushoto na Rooney akacheza dimba la juu.

Baada ya Vallencia kushindwa kumpita Bryan Oviedo,Moyes alifanya sub nzuri ya kumuingiza Januzaj na alionekana kuleta uhai.Ukiondoa Rooney,RVP na De Gea wachezaji wote wanaobaki ni kama hawaitendei haki united!

United sio mbaya kiivyo,moyes anashindwa kupanga kikosi kutoka na ubora wa timu pinzani.James McCarthy na Gareth Barry walitisha sana jana.

Kumchezesha Giggs dimba inategemea unacheza na timu gani,Giggs angeanza winga ya kushoto,Rooney na Mawigi kwenye dimba.Kagawa na chicharito washambuliaji,Vallencia beki na Januzaji winga.

Asante Roberto Martinez kwa kuandika historia mpya!

Ulishawahi kuwa kocha hata wa Timu ya Wanawake tu? Au wewe ni kama watz ambao akihisi kichwa kumuuma yeye haraka sana anakimbilia kumeza dozi ya malaria? Yaani mtu unajifanya daktari hata definition ya "Pathology" tu huijui!!!!
 
Man U jana hawakuwa wanafanya chochote, mashambulizi yao ni ya kubahatisha tu. Mechi nzima wameshanya shambulizi moja tu la maana, lile ambalo Danny Welbeck alipiga kichwa likagonga mlingoti...hadi comentator akasema...beki ya Everton ilipanic kutokana na shambulizi hilo...baada ya hapo hakukuwa na lolote la mana. Timu ilikuwa inaonekana inataka kucheza, lakini mbinu zikakosekana...

Mlinda mlango wao..anajitahidi lakini naye ni mmbambaishaji mkubwa...kwanini anapenda kuzuia mipira kwa kutegemea miguu..hata lile goli alilofungwa...alitaka kubahatisha kuzuia kwa mguu...mpira ukampita...Sasa na mabeki wafanye nini?

Kama Chris Smalling asingekuwa makini, jana wangepigwa hat-trick.... Lukaku alikuwa "spot on"...Kudos!
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom