Hayupo Mungu atayempigania Lissu.
Wamethamiria kumnyonga hadi kufa
STATEMENT HII MENITOA MACHOZIDeath smiles at us all, all a man can do is smile back
Kwako wewe Mungu ni niniHayupo Mungu atayempigania Lissu.
Unamaanisha nini?Hayupo Mungu atayempigania Lissu.
Samia and her enablers wataishia kubaya sana
Du OK. Kila jambo hutendeka.na sababu zake let us keep watchingSoma mwenyewe
MUNGU ATAMPIGANIA
================
Mheshimiwa Jaji,
Lazima sasa nihitimishe maelezo yangu. Wewe umefanya kile ambacho sheria imekuamuru kufanya, yaani, kunipeleka kusikilizwa katika Mahakama Kuu. Waendesha mashtaka wa serikali pia wamefanya kile walichoona kuwa ni wajibu wao. Mimi pia nimetumia kile ninachoona kuwa ni haki yangu ya kisheria. Nimesema yote niliyotaka kusema, kwa namna na mtindo niliotaka kuyasema. Nikimnukuu Fidel Castro kwenye “Historia Itaniondolea Hatia”, natumai sitalazimika kujilaumu kwa kuacha kanuni yoyote bila kutetewa, au kwa kuacha ukweli wowote bila kusemwa kwa kuogopa kumkera mtu yeyote, au kwa kosa lolote lisilotajwa.
Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma pamoja na maafisa wake wa sheria sasa lazima wafanye kile ambacho sheria inaeleza kuwa ni wajibu wao, yaani, kunishtaki kwa kosa linalodaiwa la uhaini kwa kile wanachoona kuwa ni “masilahi ya umma.” Mimi najua wajibu wangu ni nini: kutetea ukweli bila woga na kwa ujasiri kadiri ninavyoujua, na katika kufanya hivyo, kutetea misingi ya haki, usawa na demokrasia ambavyo havipaswi kuachwa bila kutetewa, na kulaani kosa lolote ambalo lazima kulaaniwa.
Basi nitaweza kuishi kwa amani, au kufa – kwani kifo kwa njia ya kunyongwa ndicho ambacho hawa “marafiki wasomi” wa upande wa mashtaka na waungaji mkono wao watakuwa wakidai katika Mahakama Kuu dhidi yangu. Lakini, kama Marcus Aurelius, Kaizari wa Kirumi, anavyodaiwa kusema kwa umaarufu:
“Kifo kinatabasamu kwa sisi sote, jambo pekee ambalo mwanadamu anaweza kufanya ni kutabasamu nacho.”
View attachment 3446454
Thibitisha mkuu.Hayupo Mungu atayempigania Lissu.
acha upotoshaji,Soma mwenyewe

Kilicho hasi hakithibitishiki.Kwako wewe Mungu ni nini
DhamiriaWamethamiria kumnyonga hadi kufa
ASANTE @MODS FOR THE SWAHILI VERSIONSoma mwenyewe

Who is this monster NYANI NGABU who is always anti progressive ideas? What has he got against Tundu Lissu? I am curious!!!Hayupo Mungu atayempigania Lissu.
Who the hell are you?Who is this monster NYANI NGABU who is always anti progressive ideas? What has he got against Tundu Lissu? I am curious!!!