Mimi naomba mnitoe ujinga, hivi kuwa gay ni uamuzi /kujitakia, maradhi au maumbile?
Ikiwa itatokea mtoto wako ana dalili za "u-guy", utamfanya nini? Utampiga ili awache? Asipowacha utamfukuza nyumbani? Utampeleka wa waganga/madaktari akatibiwe?
Nimewahi kuona guys tangu miaka mingi iliyopita, wengine niliwajua watu wazima, ; lakini kwa kuficha "sexual orientation yao" wameoa na wana watoto.
Tatizo la guys wa zamani na wa sasa, ni kuwa wale wa zamani wengi walikuwa wanajificha, hawakutoka makabatini kama sasa.