Inasikitisha sana!

Inasikitisha sana!

fiter

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2013
Posts
1,144
Reaction score
79
ni jinsi morinyo mzee wa kupaki basi atakapotolewa kwenye UCL leo,..japo yupo nyumbani kwake
 
Jana wenzio walisema hivyo hvyo kwa Baya..n
Jana ilikuwa Real Madrid na Karume Rangers

Chelsea mziki mkubwa,kesho nitakupa salam
 
ni jinsi morinyo mzee wa kupaki basi atakapotolewa kwenye UCL leo,..japo yupo nyumbani kwake

Kama ungesoma sana zaidi ya hapo ungekua mganga wa kienyeji, yani ulichokisema ndicho kilichompata bus boy, ze spesho boy, ze tactics boy, ze immovable and unbeatable boy, ze jozee moo
 
shosti kanena kweli ni noma sana ntuzu mpka kesho ndo tutaonana nae..

Naomba kumtetea ntuzu japo kwa hii dakika moja, kiukweli ntuzu alijitokeza jana usiku mishale ya saa sita akakiri mwenyewe kua walizidiwa. Ni hayo tu kutoka hapa viwanja vya darajani, mimi ni Skype wa jamiiforums
cc Ntuzu
 
Last edited by a moderator:
Ata huku natafutwa?

Mi ni shabiki Wa ukweli na siwezi kujificha eti Kwasababu ya kufungwa! Mbona hiyo ni kawaida ya mpira!
 
Ata huku natafutwa?

Mi ni shabiki Wa ukweli na siwezi kujificha eti Kwasababu ya kufungwa! Mbona hiyo ni kawaida ya mpira!

Kweli mkuu, hata mi nimekutetea hapo juu ngoja niku-cc upitie utetezi wangu
 
Kweli mkuu, hata mi nimekutetea hapo juu ngoja niku-cc upitie utetezi wangu

Nimeuona! Mi Sio Km hao mashabiki Wa Loserfool au Gunners yakiwakuta wanapotea wiki nzima!

Nilijitokeza Jana na leo nitakua hapa!
 
Yaan namna chelsea walivyokua wanapoteana jana uwanjani utadhan walikua wanakochiwa na devid moyes...te te te te te chezea diego simeon!
 
Back
Top Bottom