robbinhood
JF-Expert Member
- Apr 19, 2020
- 541
- 1,539
Hii muvi inaitwaje?
yah! maigizo bossInasikitisha nini? Si maigizo hayo?
sio movie boss..ni ubunifu wa vijana waliotumia picha kufikisha ujumbeHii muvi inaitwaje?
Jamaa kapata mda kabisa wa kuvaa gloves..
hapo ndipo kufeli kwa mwanasanaa[emoji28][emoji28][emoji28]Jamaa kapata mda kabisa wa kuvaa gloves..
Au ndo kuondoa ushahidi.
[emoji102]
Mpuuzi tu, anavaa gloves kufuta ushahidi halafu bado anaenda kujinyonga tena...🤔Jamaa kapata mda kabisa wa kuvaa gloves..
Au ndo kuondoa ushahidi.
woga mwingiMpuuzi tu, anavaa gloves kufuta ushahidi halafu bado anaenda kujinyonga tena...[emoji848]