Inasikitisha sana editing ya pampass

huu uzi unaweza kusababisha ban:A S angry:
mjomba anavaa diaperssssssssssssss na mimi siwaachi mpaka mkubali
 
Lowasa hata umchafue kiasi gani hachafuki. Magamba shame on u. Wakati mnamchafua sisi tunapiga mzigo na kumtafutia kura.

Lowasa atosha
 
Mnajifanya kuwa na busara kumbe wapuuzi wakubwa, nyie ndio mabingwa wa matusi kwenye mitandao ya kijamii hadi mnafikia kuimba nyimbo za kumtukana Rais na familia yake.
 
kitengo cha IT Masaki na lupumba pale wanapojidhalilisha,,, yan posho ya 5000 inawatoa ufaham kipind hiki
 
Mungu akubariki. Hekima zako wengi tulipishana nazo mlangoni.
 
NEC wanasema ni vionjo vya SIASA ila 25 coming will show them
 
Namaanisha kwamba siasa ni mchezo mchafu...practically kwa waswahili...

Ukiingia kwenye siasa kubali kuchafuliwa
..siasa za maji taka...

Hivyo nanyie react against...kwani mliyaanza wenyewe sasa yamewageukia...take it easy...

Mwanzo nilikuwa staki kusikia habari za lowasa lakni sasa naanza kuamini kati ya watu wanaofanya kampeni kwa ustaarabu Lowasa ni namba moja sijamsikia kutukana au kumkejeri mtu na haya ndo yatawafanya watu waanze kujiulize kwanini mna mwandama Lowasa
 
Angekuwa ni Mkulu au Mkuu fulani Serikalini, Ungesikia jeshi la polisi linawasaka wahusika wahusika!!

Si mbaya, hata YESU KRISTO alidhihakiwa hivyohivyo!

Mimi siyo shabiki wa EL ila namsifu sana ana roho ngumu (uthabiti wa moyo) kwa jinsi ambavyo hajishughulishi na matusi ya thithiem!

Nadhani mkono wa Mungu uko juu yake!
 
Lakni hata ukilinganisha wapiga kampeni wa Magufuli na wa Lowasa utajua wepi wana akili sawasawa na waganga njaa
 
Nyie ni washenzi wa kiwango cha juu..Mkapa hakukosea. Mara ngapi mme..edit picha za kumkashifu na kumdharirisha Rais wetu, leo mnakuja kulia lia humu.

do you know what you talk?
may you tell us the name of the one who edits hon.mkapa's pictures? and who edits hon. lowassa's pictures?
hey please take a step, stage to stage to change your way coz its so long!!!.
 
Mnajifanya kuwa na busara kumbe wapuuzi wakubwa, nyie ndio mabingwa wa matusi kwenye mitandao ya kijamii hadi mnafikia kuimba nyimbo za kumtukana Rais na familia yake.

Shame On You! Teh Teh Teh!
Yan we ndo bora hata jf ujitoe tu, maana nothing u tell us which is pointfull but all you tell us are pointless. stak kubshana na mwenye mbwa nipe mbwa kama ww nibishane nae.
 
Namaanisha kwamba siasa ni mchezo mchafu...practically kwa waswahili...

Ukiingia kwenye siasa kubali kuchafuliwa
..siasa za maji taka...

Hivyo nanyie react against...kwani mliyaanza wenyewe sasa yamewageukia...take it easy...

Kaingia mwenyewe kwenye chandimu!

Na nyie mko kwenye orodha ya watu 45+mill.sishangai ccm kujinadi mbele yako kwa Mara nyingine.
 
Shame On You! Teh Teh Teh!
Yan we ndo bora hata jf ujitoe tu, maana nothing u tell us which is pointfull but all you tell us are pointless. stak kubshana na mwenye mbwa nipe mbwa kama ww nibishane nae.

mnaleta kampeni chafu subirini na wenzenu wafanye kampeni hizo hizo msilielie.

Mbwa ni wale wasiweza kwenda chooni.
 
Weka uthibitisho qa haya uyasemayo.
 
Kila binadamu anahitaji staha hata akiwa ktk umauti.Wanaofanya hivyo hasira ya Mungu itawashukia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…