Lowassa anajidhalilisha mwenyewe, amekosa nini huyu mzee ni tamaaa tu ndio inamsumbua. Kwanini asikae nyumbani apumzike?? Anajijua fika yeye ni mgonjwa na hilo halina ubishi, kwanini asitulie nyumbani??? Wacha watu wamdhalilishe sababu ameyataka mwenyewe. Ukiingia vitani kubali kila aina ya kipigo kutoka kwa adui zako. Angekuwa ni mzazi wangu ningemshauri aachane na siasa na akae nyumbani atulie afurahie uzee wake taratibu. #HapaKaziTu Chagua Magufuli. CCM Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee MAGUFULI Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Lowassaaaaaaaa Kajinyeaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Huyu jamaa hana sera, anaongea vitu visivyo wezekana, body language ndo hata tusiende huko. In other words anastahili kukaa tu home ale pesa zake, kuongoza hawezi...
Wakati ule wa JK mgonjwa mbona hamkusema haya?
Baada ya uchaguzi watu wengi sana wataumia kwa kutumia vibaya uhuru wao hasa kama wanaowalinda watatolewa madarakani. Jela ziandaliwe kwa ajili ya washenzi kama hawa.Nimesikitishwa sana na tukio hili la kuedit pampass na kuweka picha ya Mh Lowassa akiwa amevaa pampass.
Mimi si shabiki wa Lowassa lakini napenda kuheshimu utu wa mtu haijalisha kwako hana thaman.
Huyu ni baba mwenye watoto wakubwa na mke pengine na wajukuu(sijui) fikiria familia yake inaumia kiasi gani juu ya hili? Au wewe ndo ungekuwa yy ungefanyaje?
Hujafa hujaumbika,Mungu si Athuman leo wajiona mzima au bora kesho yako huijui,tufikie hatua tufanye kampeni za kistaarabu na si kutoana thaman kiasi hiki.
Kumbe kweli waiti hair mgonjwa! maana uzi umeandikwa kwa hisia kali. Nakumbuka wakati mh rais ameenda kwenye matibabu ya prostate kuna watu walikejeli na kutukana sana humu kwa mafumbo. Sasa mjomba nae sijui anaharisha mnajifanya waungwana kwani JK nae sio baba?
Namaanisha kwamba siasa ni mchezo mchafu...practically kwa waswahili...
Ukiingia kwenye siasa kubali kuchafuliwa
..siasa za maji taka...
Hivyo nanyie react against...kwani mliyaanza wenyewe sasa yamewageukia...take it easy...
Nawaza kwa aina za kampeni tunazopiga maisha baada ya uchaguzi yatakuwaje
Kwa kampeni hizi napata shida kuamini tunaweza kukaa meza moja kama Watanzania
Ushindani wa siasa umekwisha kugeuzwa kuwa ugomvi
Namaanisha kwamba siasa ni mchezo mchafu...practically kwa waswahili...
Ukiingia kwenye siasa kubali kuchafuliwa
..siasa za maji taka...
Hivyo nanyie react against...kwani mliyaanza wenyewe sasa yamewageukia...take it easy...
Nimesikitishwa sana na tukio hili la kuedit pampass na kuweka picha ya Mh Lowassa akiwa amevaa pampass.
Mimi si shabiki wa Lowassa lakini napenda kuheshimu utu wa mtu haijalisha kwako hana thaman.
Huyu ni baba mwenye watoto wakubwa na mke pengine na wajukuu(sijui) fikiria familia yake inaumia kiasi gani juu ya hili? Au wewe ndo ungekuwa yy ungefanyaje?
Hujafa hujaumbika,Mungu si Athuman leo wajiona mzima au bora kesho yako huijui,tufikie hatua tufanye kampeni za kistaarabu na si kutoana thaman kiasi hiki.
Acha unafiki wewe bavicha hivyo vitu vipo Dunia nzima.
Kama hautajari embu tupia hako ''kaa picha''.
kumbe inauma eee, kipindi kile mlikuwa mnakejeli tezi dume tulikuwa tunawaangalia tu au mlisahau kuwa JK ni rais wa JMT pia ni baba wa familia. Kunguru wa zanzibar nyie, kenge mabaka:A S angry: leo mnajifanya wastaarabu.Ni udhalilishaji wa hali ya juu. Nimeiona nikaifikiria familia yake itakuwa inaumia sana. Siasa za Tanzania ni za kudhalilisha sijui tutastaarabika lini.kuna maisha baada ya uchaguzi jamani.
Heri yangu mimi sura yangu ovyo lakini natumia busara kufikiri, wewe una akili za kushikiwa fumbua basi macho yako. hivi huko shule mlienda kuamkia waalimu tu jifunze kutumia akili yako ndugu yangu. Alipotukanwa JK kuhusu prostate mlikuwa mnashangilia humu, sasa leo mjomba kaharisha mnasema anadhalilishwa. Wewe akili zako ziko... kwa batakisSina haja ya kutambua ujinga wako wakati avatar yako ni jibu kamili.