nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,398
Kwa umri wake ni mdogo...hivyo usisuse wala kumkasirikia...mchukulie kama mwanao.
Na kuwa tayari na changamoto za kulea teenager...usizikimbie. Kumbuka hata mwanao anaweza sema sitaki shule...utamwambia kama hutaki kaa home? Same kama unalea mtoto aso wako...si kila analoamua ni sahihi; ni mtoto.