Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 13,149
- 6,989
Kitoto kizuri kimeuliwa Njoro,Moshi,karibu na Open University.Kauliwa na mama wa kambo.
Hivi ni shetani, ni mapepo au kitu gani? Kwanini Wanawake wengine mnakua wakatili kiwango hiki? Kama hupendi kulea mtoto asie wako kwanini unakubali kuolewa na mwenye mtoto si ungekataa? Alafu kwanini uwe muovu kiasi hiki jaman ina maana angekua ndo mwanao yamemkuta haya ungejiskiajeee!?
Mwenye maelezo zaidi atupe.