awp, kuna majina mengi ambayo kwa kweli wahusikaa ndo hasa wanaweza kuyafafanua, kwa mf nilisoma na bwana mmoja aliyeitwa sabuni kwa tafakari ya haraka haraka labda yy ndo wa kwanza nguo zake kufuliwa kwa sabuni alipozaliwa!!! hilo la kwako kiboko Nchumeno!