INASIKITISHA: Msanii Dullayo awa mlevi kupindukia, atia huruma

2020 nilimuona pale La Chaaz kalewa chakari asubuhi Yuko na Malaya anataka akajigongee kwa ustar Malaya kamsusa pale getini kasepa... Josline jamaa chini mwenyewe kalewa chakari. Malaya katoka nduki.

Malaya wa dar hawana adabu.
Kuna siku kaja fire pate kituoni kuna kibanda usiku wanauza pombe. Yuko bwax analeta story za kua yeye ni staa wahuni waka mkataa
 
Dullaaaaayo!! Nikivaa koti la siasa:SES-SOCIAL ECONOMIC STATUS' Halina shaka jawabu la ccm imeshindwa na itaendelea kufeli kuondoa umaskini TANZANIA(Tunaviongozi wajinga sana tena sana) Nikivaa koti la denial of death(fear of life and death),dullayo ni failed heroism.. Wachaa ni burudike na gangwe mob ft mr paul-tatizo noti....inspect haroun"tatizo hili la ajira /limefanya vijana tupatwe na utahira/ tunaishi kwa vibomu,vizinga /...TATIZO NOTI
 
Namjua abdala kasembe almaarufu dulayo a to z tangu mwaka 1998 tulipokua darasa la saba minaz mirefu kinachomfelisha maisha aliyokulia na kampan pia ushamba au ugen wa kushila pesa leo hii huyo dulayo anafanya show ata kwa elfu tano ukimpa bia tatu ukitaka hata akuimbie hata alb nzima anaimba
Daah inasikitisha sana.
 
Back
Top Bottom