kwanini hawatoshelezwi??????
Wanaanza mapema huo mchezo. Hadi kufika muda wa kuolewa wanakuwa used sana.
Ila wanawake waliokulia kwenye maadili, wanafika bila shida yeyote.
Kwa hiyo tatizo la msingi hapo ni kukubuhu kwa wanadada wa sasa
mkuu nakubaliana na wewe 100%,unakuta mtu ameshapitia kwa wengi so kutoshelezwa inakuwa ngumuWanaanza mapema huo mchezo. Hadi kufika muda wa kuolewa wanakuwa used sana.
Ila wanawake waliokulia kwenye maadili, wanafika bila shida yeyote.
Kwa hiyo tatizo la msingi hapo ni kukubuhu kwa wanadada wa sasa
kama kina nani??kwanini hawatoshelezwi??????
kama kina nani??
Wanaanza mapema huo mchezo. Hadi kufika muda wa kuolewa wanakuwa used sana.
Ila wanawake waliokulia kwenye maadili, wanafika bila shida yeyote.
Kwa hiyo tatizo la msingi hapo ni kukubuhu kwa wanadada wa sasa
Je wanaume hawaanzi mapema?
Nimemtaja mke wako?mbona unaingilia privancy,watch out:eyebrows:nahisi mtoa mada hajaoa.ama bado teenager.upuuzi mtupu.
mtu na heshima yake awe mume/mke hawezi kutoa siri yake ya ndani kusema anatoshelezwa ama atoshelezwi
ndo mana wazee wa zamani walikuwa na unyago kwa wote.he/she bila kubagua.:hat:
kwanini hawatoshelezwi??????