Inasababishwa na nini?

Inasababishwa na nini?

Tutor B

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Posts
9,025
Reaction score
6,614
Nikipanda nachelewa kuchuka! Hadi dem wangu anadai kuwa sim-feel ndo maana sishuki mapema. Na bado nikishuka ngoma inaendelea kudai tena. Nikiongea na marafiki zangu wanasema wao eti dak 5 ni nyingi; wakati mi huwa naenda hadi 20 au 30 min ndani ya game.

Sijawahi kutumia dawa za kuongeza nguvu; kinywaji changu ni Guines the Power + CocaCola.

Sababu ni ipi?
 
demu wako kashakutajia..
haum feel...au ni too ugly lol
 
sihusiki mahali hapa,ngoja nijaribu mmmh ukute unamuwaza Ashura wakati uko na Asha kitandani ndo maana,au unajilazimisha kufanya tendo wakati mwili na akili yako hujaviweka huko,au una msongo wa mawazo.
 
Hali hiyo ni tangu umeanza hayo mambo au ni tangu umempata huyo uliyenaye sasa? na vp tangu uwe naye ulishacheza mechi za nje? na kama ndio hali ni ilele? Majibu yako yatatoa mwanga wa tatizo.
 
some kinda of advertisement in here....
Uwe unapga pull kabla ya kupanda
 
Nikipanda nachelewa kuchuka! Hadi dem wangu anadai kuwa sim-feel ndo maana sishuki mapema. Na bado nikishuka ngoma inaendelea kudai tena. Nikiongea na marafiki zangu wanasema wao eti dak 5 ni nyingi; wakati mi huwa naenda hadi 20 au 30 min ndani ya game.

Sijawahi kutumia dawa za kuongeza nguvu; kinywaji changu ni Guines the Power + CocaCola.

Sababu ni ipi?
Huna tatizo lolote, bali unasumbuliwa balehe. Ikipita hiyo hatua utakuwa normal tu usijali.
 
hongera kwa kujaliwa
maana wenzio dk 2 kushney!
mpenzio anapaswa awe na pumzi
za kutosha la sivyo ni shughuli pevu!

Mbona nikawaida hilo sio tatizo kumaliza kwa dk 5 ni ugonjwa na mademu wengi hawapendi mtu wa kushusha kwa dk 5
 
Back
Top Bottom