Inaonyesha Dereva wa Tundu Lissu hana elimu ya kutosha kuendesha viongozi Kiulinzi zaidi.!!

Kila nikitafakari na kuona jinsi madereva wa marais, makao wa Rais, waziri wakuu na mawaziri basi huwa naona uendeshaji wa Kiulinzi zaidi in case lolote likitokea hata ile parking yao tu utaona si ya kawaida.

Na hata katika mafunzo ya udereva huwa kuna namna ya mafunzo ya kuendesha viongozi hutolewa na hasa kama madereva wa viongozi basi kuna mafunzo ya ziada hutolewa kama ilivyo kwa madereva wa viongozi.

Tukio la shambulizi la Tundu Lissu unaona mapungufu mengi katika uendeshaji wa dreva wake pamoja na viashiria vya hatari zote kwa kiongozi wake lakini hakuchukua tahadhari yoyote kiasi cha kumweka Tundu Lissu kwenye target la shambulizi.

Nina imani angekuwa na mafunzo mazuri kuendesha viongozi asingefanya alichokifanya na hatimaye kumuacha kiongozi wake akashambuli na watu wasiojulikana.
Mpigaji alishindwa kumuua Tundu kama alivyokusudia. Kuanzia hapo watesi wanaweweseka sana na kukosa amani hasa pale roho ya utu inaporejea. Jipime tena.
 
Kila nikitafakari na kuona jinsi madereva wa marais, makao wa Rais, waziri wakuu na mawaziri basi huwa naona uendeshaji wa Kiulinzi zaidi in case lolote likitokea hata ile parking yao tu utaona si ya kawaida.

Na hata katika mafunzo ya udereva huwa kuna namna ya mafunzo ya kuendesha viongozi hutolewa na hasa kama madereva wa viongozi basi kuna mafunzo ya ziada hutolewa kama ilivyo kwa madereva wa viongozi.

Tukio la shambulizi la Tundu Lissu unaona mapungufu mengi katika uendeshaji wa dreva wake pamoja na viashiria vya hatari zote kwa kiongozi wake lakini hakuchukua tahadhari yoyote kiasi cha kumweka Tundu Lissu kwenye target la shambulizi.

Nina imani angekuwa na mafunzo mazuri kuendesha viongozi asingefanya alichokifanya na hatimaye kumuacha kiongozi wake akashambuli na watu wasiojulikana.

hii ni kuashiria kuwa arishirikishwa(jibu A)

pia hakushirikishwa(jibuB)

na majibu yote ni sahihi
 
Kila nikitafakari na kuona jinsi madereva wa marais, makao wa Rais, waziri wakuu na mawaziri basi huwa naona uendeshaji wa Kiulinzi zaidi in case lolote likitokea hata ile parking yao tu utaona si ya kawaida.

Na hata katika mafunzo ya udereva huwa kuna namna ya mafunzo ya kuendesha viongozi hutolewa na hasa kama madereva wa viongozi basi kuna mafunzo ya ziada hutolewa kama ilivyo kwa madereva wa viongozi.

Tukio la shambulizi la Tundu Lissu unaona mapungufu mengi katika uendeshaji wa dreva wake pamoja na viashiria vya hatari zote kwa kiongozi wake lakini hakuchukua tahadhari yoyote kiasi cha kumweka Tundu Lissu kwenye target la shambulizi.

Nina imani angekuwa na mafunzo mazuri kuendesha viongozi asingefanya alichokifanya na hatimaye kumuacha kiongozi wake akashambuli na watu wasiojulikana.
Swala la lisu limekugusa nadhani umeumia kuliko hata mke wake
 
Ipo siku utajakusema lissu alikua anatumia gari la kiwango cha chini,ila nyie watoto wa enzi za upara shida sana
 
angehamisha gari, angetumia gari kama kinga, angetumia gari kama silaha dhidi Ya washambuliaji
Unahamishaje Gari??
Yaani unahamia gari jingine??
Kama tu risasi zimepiga mtu alieko ndani ya Gari ikawa vile, je zingempiga akiwa wazi wakati anahamia gari jingine ingekuaje??
 
Ipo siku utajakusema lissu alikua anatumia gari la kiwango cha chini,ila nyie watoto wa enzi za upara shida sana
NI KWELI HATA KUVAA Bulletproof Vest - Level IIIA for $299 NI SHIDA NA UNAJUA UNAFUATILIWA !!
upload_2017-10-16_9-8-53.png
 
That was a proffessional setup being carried on by shooter who were too sure of themselves,
there is no way anyone was going to get out of volleys of bullets alive,
it is just a miracle that nobody died that day,

lisu and his driver were caught by suprise,they were in no position to return fire,
if you are under heavy fire even if you are armed you dont return fire until the fire pause,i bet the driver was unarmed offcourse there was nothing else to do than takin cover
 
Kila nikitafakari na kuona jinsi madereva wa marais, makao wa Rais, waziri wakuu na mawaziri basi huwa naona uendeshaji wa Kiulinzi zaidi in case lolote likitokea hata ile parking yao tu utaona si ya kawaida.

Na hata katika mafunzo ya udereva huwa kuna namna ya mafunzo ya kuendesha viongozi hutolewa na hasa kama madereva wa viongozi basi kuna mafunzo ya ziada hutolewa kama ilivyo kwa madereva wa viongozi.

Tukio la shambulizi la Tundu Lissu unaona mapungufu mengi katika uendeshaji wa dreva wake pamoja na viashiria vya hatari zote kwa kiongozi wake lakini hakuchukua tahadhari yoyote kiasi cha kumweka Tundu Lissu kwenye target la shambulizi.

Nina imani angekuwa na mafunzo mazuri kuendesha viongozi asingefanya alichokifanya na hatimaye kumuacha kiongozi wake akashambuli na watu wasiojulikana.

Stick your finger in your ass and smell it ndio harufu yako ya mdomo
 
Kwa kweli sijaona hasa msingi wa lawama zako unatoka wapi; umelinganisha madereva wa rais, waziri mkuu na makamo (makamu) wa rais. Hivi hao hata kama sio dereva mzuri unashindwaje kumfikisha abiria wako salama ili hali njia zao hua zipo cleared before? NOt only that, hata huko waendako hua kuna ulinzi wa kutosha kabisa. To me, hao madereva wa hao ulio wataja hua wanafikaga salama kwa Neema za Mungu tu kuwalinda hao viongozi, speed kubwa ni miongoni mwa vihatarishi vya safari. Just in case kuna dharula yoyote then hakuna mtu anaweza kutoka salama kwenye hayo magari. Msafara wa Obama alivyo kuja Bongo, tuliona magari yale from Dar airport to our state house, hayakuzi 90kph wakati wa viongozi wetu sijui kama hua inapungua 150kph. Anyway, dereva angekua sio mzuri Tundu asingekua hai. Hivi ni nani aliemwambia Tundu asishuke garini? Well, may be hatumjui, may be ni Tundu mwenyewe au dereva wake, but due to experience, mtu pekee mwenye uwezo wa kujua kama anafuatilia ni dereva wa chombo na sio abiria, why? Kwasababu site/side mirror zimeelekezwa upande wa dereva. So to me, dereva wa Lissu ni dereva makini kuliko hao ulio wasema, wao hao wamejengewa mazingira mazuri ya kazi zao tofauti ma dereva wa viongozi wengine including mawaziri wa kawaida.
 
Huwezi jua, pengine na dereva ni sehemu ya mission hiyo ndani ya chama chao, mpango mzima!
Kila mkiambiwa waitwe wapelelezi wasiopendelea upande wowote hamtaki, Kwa nini? Waliompiga risasi meja wa jeshi walikamatwa siku ileile kwa nini waliompiga risasi Lisu mnaita wasiojulikana?
 
Mods kwanza Asante kwa kumlima Ban huyu dogo maana Ban yangu ya mwisho aliniponza huyu mtoto.

Pia napendekeza kuwe na idadi maalumu ya "jumla ya nyuzi anazoanzisha mtu kwa mwezi" hii itapunguza nyuzi zisizo za msingi humu.
 
Back
Top Bottom