Inaonekana kuna jamaa analalaga na mke wangu ndani ya nyumba yangu

Masasaa

JF-Expert Member
Oct 23, 2015
451
500
Mosi, nunua bulb zenye kamera weka kama taa ya mlangoni, sebureni na chumbani skku nyingine ukija utapata majibu.

Pili, jitahidi uwe unaenda mara kwa mara japo kwa mwezi mara mbili, na ukienda toa shoo ya kibabe, vinginevyo utaendelea kongongewa

Stay home, stay safe
Corona kills
 
KENY THOMAS

Member
Sep 14, 2017
37
125
Mkuu kwanza nikupe pongezi kwa kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa Covid-19 lakini pole pia kwa changamoto hiyo uliyokumbana nayo;

*Scenario haijawa kamili(kwa maana ya aina ya maisha mnayoishi-uko mbali na familia/ni mzazi mwenzako...)hii ingetoa mwanga kiasi fulani hili kusaidia katika kupata ushauri mzuri

*Kuna kipindi nilikuwa nikifanya kazi mbali na familia yangu(mke wangu+watoto wawili+vijana wawili wasaidizi-me+ke)...ofcouz sikuwa na wasi wowote kwasababu niliamini nimemwacha mke anayeelewa ni nini maana ya maisha_kiuhalisia uwa napenda saana kuongea na wanangu(hivyo kila siku ilikuwa ni lazima niwasiliane nao kupitia mama yao nyumbani)_na kila baada ya miezi2/3 nilikuwa nikirudi kwa ajili ya mapumziko na familia...

* Kuna nyakati za usiku kijana wangu wa kwanza(5yrs kipindi hiko) akanipigia simu kupitia simu ya mezani kuwa 'Baba,simwoni mama ndani'..kiukweli nilipata shock..nikamuliza 'kuna mgeni alikuja/yupo hapo nyumbani?'mtoto akanieleza 'kuna m-mama alikuja mweupe(mama alitwambia ni mamdogo)'_basi mi nikamwomba akaendelee kulala(alikuwa akiogopa kwasababu ya mazingira ya chumbani yuko na mdogo wake mdogo na hatukua na muda mrefu tumehamia-vitu vingi vilikuwa havijakamilika)_
Ulipofika muda wa asubuhi nikampigia mama watoto na kuwajulia hali kama ilivyo desturi(katika maongezi,nikamuliza 'hujanambia kama kuna mgeni hapo nyumbani'..akawa amenieleza 'ni rafiki yangu wa Zanzibar tuliyekuwa tukifanya naye kazi alikuja huku ila ameondoka asubuhi hii'_japo sikumwuliza habari za kutoka usiku huo(kama alivyonieleza mtoto)_

*Kiufupi huyu mwanangu wa kwanza(13yrs now) alikuwa akinieleza mambo mob yaliyokuwa yakitokea nyumbani(na ofcouz kuna kipindi wife mwenyewe aliconfess mbele yangu lakini bila mm binafsi kumtaja mtoto)_kiuhalisia swala la mm kuwa mbali kipindi hicho na familia yangu wife alikuwa halipendi kutokana na mazingira tulokuwa tumehamia mageni(ile hali ya uoga,nyumba haijaisha,matukio ya mtaa)_so nilijua inapelekea ye kuwa hivyo na bad kampani(baadhi ya wanawake wanawarubuni wenzao katika maswala mbalimbali)_

My advice:wewe endelea kufatilia(usikaushe)_zipo mbinu za kutumia(kama huwa unatoa taarifa unapoenda kwa mke wako-basi usiwe unatoa..na kutomshirikisha mtoto kama chanzo cha wewe kupata taarifa(hii italeta mahusiano mabaya na mama yake)...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jokajeusi

JF-Expert Member
Jun 1, 2018
4,343
2,000
dhambi ambazo kamwe Mungu hawezi kukusamehe;
1. kuendelea kuishi na Mwanamke hata kama umejua ni msaliti wa mapenzi.
2. Kuendelea kuishi na mwanamke mchawi au mshirikina hata baada ya kujua.

Ukitaka Mungu akudharau
1. Oa mwanamke asiye na bikra
 
Proved

JF-Expert Member
Sep 10, 2018
9,130
2,000
Noma sana! Fanya uchunguzi mkuu na ukifahamu ni ukweli chukua hatua maana ukibaki kimya ni hatari sana kwako na mtoto wako.
 
44mg44

JF-Expert Member
Jun 16, 2019
271
500
Mkuu kwanza nikupe pongezi kwa kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa Covid-19 lakini pole pia kwa changamoto hiyo uliyokumbana nayo;

*Scenario haijawa kamili(kwa maana ya aina ya maisha mnayoishi-uko mbali na familia/ni mzazi mwenzako...)hii ingetoa mwanga kiasi fulani hili kusaidia katika kupata ushauri mzuri

*Kuna kipindi nilikuwa nikifanya kazi mbali na familia yangu(mke wangu+watoto wawili+vijana wawili wasaidizi-me+ke)...ofcouz sikuwa na wasi wowote kwasababu niliamini nimemwacha mke anayeelewa ni nini maana ya maisha_kiuhalisia uwa napenda saana kuongea na wanangu(hivyo kila siku ilikuwa ni lazima niwasiliane nao kupitia mama yao nyumbani)_na kila baada ya miezi2/3 nilikuwa nikirudi kwa ajili ya mapumziko na familia...

* Kuna nyakati za usiku kijana wangu wa kwanza(5yrs kipindi hiko) akanipigia simu kupitia simu ya mezani kuwa 'Baba,simwoni mama ndani'..kiukweli nilipata shock..nikamuliza 'kuna mgeni alikuja/yupo hapo nyumbani?'mtoto akanieleza 'kuna m-mama alikuja mweupe(mama alitwambia ni mamdogo)'_basi mi nikamwomba akaendelee kulala(alikuwa akiogopa kwasababu ya mazingira ya chumbani yuko na mdogo wake mdogo na hatukua na muda mrefu tumehamia-vitu vingi vilikuwa havijakamilika)_
Ulipofika muda wa asubuhi nikampigia mama watoto na kuwajulia hali kama ilivyo desturi(katika maongezi,nikamuliza 'hujanambia kama kuna mgeni hapo nyumbani'..akawa amenieleza 'ni rafiki yangu wa Zanzibar tuliyekuwa tukifanya naye kazi alikuja huku ila ameondoka asubuhi hii'_japo sikumwuliza habari za kutoka usiku huo(kama alivyonieleza mtoto)_

*Kiufupi huyu mwanangu wa kwanza(13yrs now) alikuwa akinieleza mambo mob yaliyokuwa yakitokea nyumbani(na ofcouz kuna kipindi wife mwenyewe aliconfess mbele yangu lakini bila mm binafsi kumtaja mtoto)_kiuhalisia swala la mm kuwa mbali kipindi hicho na familia yangu wife alikuwa halipendi kutokana na mazingira tulokuwa tumehamia mageni(ile hali ya uoga,nyumba haijaisha,matukio ya mtaa)_so nilijua inapelekea ye kuwa hivyo na bad kampani(baadhi ya wanawake wanawarubuni wenzao katika maswala mbalimbali)_

My advice:wewe endelea kufatilia(usikaushe)_zipo mbinu za kutumia(kama huwa unatoa taarifa unapoenda kwa mke wako-basi usiwe unatoa..na kutomshirikisha mtoto kama chanzo cha wewe kupata taarifa(hii italeta mahusiano mabaya na mama yake)...

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante kwa ushaur mkuu
 
gh hussa

JF-Expert Member
Apr 20, 2016
2,853
2,000
Write your reply...Write your reply...SIKU NYENGINE KAA SANA NA UKIRUDI USIMWAMBIE TAFUTA NYUMBA AU CHUMBA JIRANI NA MTAA WAKO WEKA MTU AMFATILIE MLIPE AKUPE INFO AKIKWAMBIA KAINGIZA NJOO MBIO NJOO NA WASHKAJI WA KUTOSHA ,CAMERA AINA YA CANON, KY JELLY
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom