Inaonekana kuna jamaa analalaga na mke wangu ndani ya nyumba yangu

Noma sana! Fanya uchunguzi mkuu na ukifahamu ni ukweli chukua hatua maana ukibaki kimya ni hatari sana kwako na mtoto wako.
 
Write your reply...Write your reply...SIKU NYENGINE KAA SANA NA UKIRUDI USIMWAMBIE TAFUTA NYUMBA AU CHUMBA JIRANI NA MTAA WAKO WEKA MTU AMFATILIE MLIPE AKUPE INFO AKIKWAMBIA KAINGIZA NJOO MBIO NJOO NA WASHKAJI WA KUTOSHA ,CAMERA AINA YA CANON, KY JELLY
 
Mungu kamtumia malaika wake kukupa taarifa. Usaliti ni kitu kibaya. Usivumilie usaliti katika ndoa. Tafuta ushahidi wa pili kuhusu hilo jambo. Halafu chukuwa hatua stahili. Huyo mwanamke ana roho ya ajabu. Huyo mtoto atamkumbuka daima kama mama malaya. Inawezekana amewasikia wakifanya mapenzi ndani. Hizo kumbukumbu zote atakufa nazo huyo mtoto. Na zinaweza kumsumbua sana kisaikolojia atakapokuwa mkubwa.
 
Ila hawa watoto na baba zao.
Mhhhhh mje mwenyewe nina semelewa makosa yangu.
Sijatoka atasema nimetoka.
Unabaki unashangaa
Ulienda kwa mkeo, mnaishi mikoa tofauti?!

Kama uko tayari kumuacha anza kumfuatilia, ila ungeongea naye kabla ya kuanza kumfuatilia! Mshtuko wake tuu utakupa jibu sahihi!!

Ila kama kweli kaingiza mwanaume ndani, kakosea mnoo!
 
Acha kabisa.
Ninaweza kuelewa kwa nini zamani dada yangu alikuwa anamuogopa mtoto wake wa miaka 5.
Yaani alikuwa anamuogopa mno na kumtunga jina "CNN"

Na baba zao huwa wanajuaga, kitu cha kwanza wanaanzaga kuwalima maswali hawa madogo, wanatiririka mwisho wanapewa hela ya pipi
 
Back
Top Bottom