Inaniuma sana

Inaniuma sana

Naumia sana napoona watoto wamebebwa na baba zao, wanafurahi na baba zao hata kucheza na baba zao.

Masikini mtoto wangu mapenzi haya furaha hii hatakuja kuipata kwani kakataliwa tangu akiwa tumboni.

Mungu nisaidie niweze kumpa furaha mwanangu asijehisi upweke.


Furaha ya mtoto unayo wewe mwenyewe!!pigana umwandalie mtoto maisha mazuri ili hasiweze kuona gap la baba!!wangapi tumelelewa na mama tu na maisha yakaenda mpaka saizi tuma maisha yetu!!!be strong and move on
 
Inauma sana, hakuna sababu yoyote inayoweza kukubalika kwa mzazi kumkataa mtoto. Tafuta jukwaa zuri litakalokukutanisha na mtu mwenye kuamini ''Ukipenda Boga penda na Ua lake''.
 
Njoo mlete ili apate furaha na malezi ya baba

Shida yote nini wakati baba tumejaa tele na tuwapenda sana watoto.
 
MANTAHOFU....... Akikua kidogo tu mzazi mwenzio atakutafuta tu......!!!!!!
 
Back
Top Bottom