Obugwa Izoba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 10,467
- 11,641
usijali wako wengi single mothers humu na maisha yao yanaenda vizuri tu. Watakupa uzoefu
Ole wako uje ukatae na huyu wako tumboni utanijua
Ushaur mzuri
Thank you mumy
he..una mimba? ya lini mbona tunaambiana kwenye forum?
usijidai mtaalamu wa kuruka viunzi subiri miez ikatike
mimi huwa sikatai mimba asee, hata za kubambikiwa mi nazikaribisha tu!
Naumia sana napoona watoto wamebebwa na baba zao, wanafurahi na baba zao hata kucheza na baba zao.
Masikini mtoto wangu mapenzi haya furaha hii hatakuja kuipata kwani kakataliwa tangu akiwa tumboni.
Mungu nisaidie niweze kumpa furaha mwanangu asijehisi upweke.
Sijui kwanini hunimisi kama navokumisigi.
Yani mie nakumiss sana basi tu!!!