Inaniuma sana

Hivi wanaume ma-player (kama we ni bazazi mstaafu au still in action em pitia hapa ujibu) wanatuliaga at some point in their life kweli??unakuta tyr jamaa ashakuwa na wanawake zaidi ya 100 na anakuambia wazi,ataridhika na mimi tu kwelii??ama once a player always a player??
 
Dada anampenda rafiki yangu, siwezi kumuoa maana najua upendo wake kwa rafiki yangu hauishi hata wakiachana vipi, unataka nimegewe?

Mwambie rafiki yako hafai atampa ukimwi atakuelewa mkuu
 
Dada anampenda rafiki yangu, siwezi kumuoa maana najua upendo wake kwa rafiki yangu hauishi hata wakiachana vipi, unataka nimegewe?

kwani unategemea kumuoa msichana ambaye hajamegwa??
 
Chamsingi onya hiyo rafiki ako aache umalaya pori!hapo utakua umemsaidia huyo shemejiyo kpenz,ambaye hana hatia.tafakari...chukua hatua

Malaya ni Malaya tu hawezi kumsikiliza na amekwisha Sema rafiki yake hasikii! Mtendee haki dada wa watu mwambie ukweli atakuja kumuua bure na ushamba wake wa wanawake!
 
kwani unategemea kumuoa msichana ambaye hajamegwa??

Hujui hata simuelewi sasa unataka mwanamke bikra? Hata Kama anampenda rafiki yako unafikiri ukimueleza tabia za rafiki yako bado atakuwa anampenda tu? Basi atakuwa mwehu.
 
^^
When you feel painful for a fellow's burden, it might be a sign of true love for that fellow
^^
 
Malaya ni Malaya tu hawezi kumsikiliza na amekwisha Sema rafiki yake hasikii! Mtendee haki dada wa watu mwambie ukweli atakuja kumuua bure na ushamba wake wa wanawake!

Tatizo naogopa kuonekana mbaya
 
sasa wewe unataka ushauri gani jf kumuoa hutaki/kumwambia dada ukweli hutaki????

act like man bhana wanaume wanakuwa na misimamo na maamuzi sio kulalamika lalamika
 
sasa wewe unataka ushauri gani jf kumuoa hutaki/kumwambia dada ukweli hutaki????

act like man bhana wanaume wanakuwa na misimamo na maamuzi sio kulalamika lalamika

Thanks for advice
 
Kweli kwenye miti hakuna wajenzi
 
Birds of the same feathers flock together.Huenda jamaa ni rafiki yako kwa maana kitabia mpo sawa.Mwambie bidada acheze mchezo salama kila cku iwe siku ya nenda kwa usalama.
 
Ngoja nimpe time ya kujirekebisha

...kaaaah..uko Dar au wapi ... mchane huyu mvulana malayaaaa...huyo demu wake nae yuko Dar au wapi...nikupe maujanja fasta demu mwenyewe amnase..ajionee
 
Sentensi ya mwisho ndo jibu sahihi. Jasiri haachi asili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…