bahaticaro
Senior Member
- Jul 20, 2012
- 100
- 31
Nampenda sana mpenz wangu ambaye naishi naye kwa sasa ila amekuwa mkali sana kwangu anaondoka anarudi usiku nikimuuliza anakuwa mkali sana kwa sasa nimejaribu kumchunguza kupitia watu mbalimbali dah! it pain much cz nimegundua before sijahamia kwake alikuwa anaishi na mwanamke mwingine ambaye alikutana naye club sijui nimwambie alafu nisepe au niondoke bila hata kumwambia naskia hasira sana naombeni ushauri wa kunisaidia kwa sasa na sio kunilaum:sleepy: