Inaniuma sana

Manchago

Member
Feb 18, 2012
20
0
Wanajamii wenzangu ninatatizo linaniumiza kichwa nilikuwa na demu wng 2liishi nae muda ikafikia akaanza kubadilika nikaona nimteme sasa yapita miaka 2 nashangaa siku hizi ananilazimisha turudiane coz amesikia naona,naomba ushauri wenu mi ni wakiume
 
..uliishi nae muda..??
...ukamtema..??
..aka anza badilika..??

Amesikia wafanyeje.!?
Edit post tuchangie hoja
 
uki edit post yako kaka ntarudi...nahisi nina mchango wakutosha...
 
Mlio kuwa hamjampata amekusudia sasa kasikia ana kazi nzuri na mshahara wake babkubwa demu kamua kumlilia au nimekosea thread poster.

Mimi nakushauri kama ulisha mtema basi na wengine wameisha mtema na wengine wamemtemea sana tena sana, hivyo usi slow down endelea na safari yako....wasichana wako wengi tu usiogope, safari sio kifo....utafika tu kwa wengine wazuri kuliko huyo, kule mbele utakutana na new model afu totoz za siku hzi hazili sana, uta save sana pesa ya mlo :biggrin:
 
We mbona hujielewi sasa ushajua demu anakupendea pesa unamtaka tena wa nini..... Chukua vya ukali vingine afu unaonyesha bado unampenda huyo mpenda chapaa shauri ako saivi ukimkubali tu ndo anakumaliza kila kitu chukua care
 
Mlio kuwa hamjampata amekusudia sasa kasikia ana kazi nzuri na mshahara wake babkubwa demu kamua kumlilia au nimekosea thread poster.

Mimi nakushauri kama ulisha mtema basi na wengine wameisha mtema na wengine wamemtemea sana tena sana, hivyo usi slow down endelea na safari yako....wasichana wako wengi tu usiogope, safari sio kifo....utafika tu kwa wengine wazuri kuliko huyo, kule mbele utakutana na new model afu totoz za siku hzi hazili sana, uta save sana pesa ya mlo :biggrin:

hahahaa fazaaa fazaa fazaa.. Tunakula sisi.. Unafikiri pozi tunazowawekea kwenye "dates" ndo tulivyo.. Aah wapi!
 
Achana nae pengine ana ngoma ndan ya miaka miwli hajapata tu wa kumfurasha! Kaa chojo anataka chapa akipata ana lala mbele au takutenda utajua kuzaliwa.
 
Wanajamii wenzangu ninatatizo linaniumiza kichwa nilikuwa na demu wng 2liishi nae muda ikafikia akaanza kubadilika nikaona nimteme sasa yapita miaka 2 nashangaa siku hizi ananilazimisha turudiane coz amesikia naona,naomba ushauri wenu mi ni wakiume

inaonekana mwanzo ulikuwa umefulia na siku hzi umenunua premio ndo maana kaona umepanda chati na una pesa za kuspend kama vile he he he he he he
 
Back
Top Bottom