Inaniuma sana, katoa mimba yangu kisa mama yake hanipendi

Ni mda Kama wa miaka mitatu Sasa inaenda niko na uyu binti kwenye mahusiano tulipendana Sana nakufikia kuweka malengo ya kuwa mume na mke hapo baadae.

Mwezi uliopita aligundulika anaujauzito wangu wa mwezi mmoja tulikaa tukakubaliana tuulee uo ujauzito basi mambo yakapita nikaanza kupambana katika harakati zangu kuhakikisha namuhudumia vizuri mama mjamzito na kujipanga kwa mtoto ajae.

Lakini Cha kushanzaga juzi ananipigia simu ananiambia nashida ya kuzungumza na wewe fanya uwezavyo tuonana sababu ye bado anaishi kwao basi nikaacha shughuli zangu nikaonana nae sehemu alivyoniona akaanza kulia Sana na kuniambia kuwa mimba imetoka kiukweli nilishituka kwa kiasi chake basi nikamtuliza tukaongea mengi Sana akionesha jinsi ilivyomgusa

....Sasa leo nakuja pata taharifa kwa rafiki yake wa karibu Sana ananiambia mpenzi wako ile mimba iliyotoka chanzo ni mama ake mzazi hakutaka nizae na binti yake na kwanza alikua hanipend nahakupenda mahusiano yetu kisa wao ni famili yenye uwezo mkubwa hivyo binti yake ataangaika tu na Mimi Sina hadhi ya kuzaa nae.

Iliniuma Sana nilivyombana uyo mpenzi wangu aniambie hivi ayo niliyoambiwa na rafiki yana kweli alibisha lakini baadae alikiri na kuomba msamaha kuwa ni kweli mama ake alimshinikiza kwa vitisho vikali kuitoa hiyo mimba yangu naye akakubali.

Imeniuma Sana kwanini uyu binti atoe mimba yangu kisa mama yake hanipendi lakini kwanini akubali kutoa iyo mimba wakati niko tayali kuilea Kama kwel alikua anaenipenda.
Mhh sisi wanawake aiseh.....Mim nasema acha tu nipambane na mwanangu mmoja......naona watu wanavohangaika kupata watoto kisa walitoaga mimba!!.....kwa huyo binti Kaa mguu mmja ndani mwingine nje.....mama ake atakuja kumuozesha hv karibuni....
 
Funga macho kwa sekunde moja fungua then fanya kusahau kuwa mahusiano hayo yaliwahi ku-exist kabisa.
Aiambie nafsi yako ikae mbali na familia ya watu hawataki mazoeya na wewe na wanaona unafosi kuunganisha ukoo.

Songa mbele.
 
Ni mda Kama wa miaka mitatu Sasa inaenda niko na uyu binti kwenye mahusiano tulipendana Sana nakufikia kuweka malengo ya kuwa mume na mke hapo baadae.

Mwezi uliopita aligundulika anaujauzito wangu wa mwezi mmoja tulikaa tukakubaliana tuulee uo ujauzito basi mambo yakapita nikaanza kupambana katika harakati zangu kuhakikisha namuhudumia vizuri mama mjamzito na kujipanga kwa mtoto ajae.

Lakini Cha kushanzaga juzi ananipigia simu ananiambia nashida ya kuzungumza na wewe fanya uwezavyo tuonana sababu ye bado anaishi kwao basi nikaacha shughuli zangu nikaonana nae sehemu alivyoniona akaanza kulia Sana na kuniambia kuwa mimba imetoka kiukweli nilishituka kwa kiasi chake basi nikamtuliza tukaongea mengi Sana akionesha jinsi ilivyomgusa

....Sasa leo nakuja pata taharifa kwa rafiki yake wa karibu Sana ananiambia mpenzi wako ile mimba iliyotoka chanzo ni mama ake mzazi hakutaka nizae na binti yake na kwanza alikua hanipend nahakupenda mahusiano yetu kisa wao ni famili yenye uwezo mkubwa hivyo binti yake ataangaika tu na Mimi Sina hadhi ya kuzaa nae.

Iliniuma Sana nilivyombana uyo mpenzi wangu aniambie hivi ayo niliyoambiwa na rafiki yana kweli alibisha lakini baadae alikiri na kuomba msamaha kuwa ni kweli mama ake alimshinikiza kwa vitisho vikali kuitoa hiyo mimba yangu naye akakubali.

Imeniuma Sana kwanini uyu binti atoe mimba yangu kisa mama yake hanipendi lakini kwanini akubali kutoa iyo mimba wakati niko tayali kuilea Kama kwel alikua anaenipenda.
Move on! I repeat MOVE ON!

Achana naye, tafuta mwanamke mwingine wa kufanana nae hali... Usi force hapo yatakukuta mengi mabaya zaidi.
 
Back
Top Bottom