Inanisikitisha sana

Inanisikitisha sana

wasiwasi ndio akili.we kila kukicha unawasiliana na mke wangu unataka nn?
 
QUOTE=Preta;4895471]eeh....kweli upo serious.......[/QUOTE]

hahaha kwakweli sipendi kukaguana bana.mpaka nimetulia na wewe,hukunishurutisha,maana yake nimekata shauri!nimeacha msururu woooote huko kwaajili yako,tuaminiane bana!
 
he he he, hata mie nafuata yake.
Kanikataza kusuka maweaving, nimeacha

kanikataza kuvaa hereni kubwa, nimeacha

kanikataza kuvaa viatu virefu nimeacha

kanikataza suruali, nimeacha

sasa kwa nini na yeye nisimshirikishe na kasheshe zangu?


kwani tunalipiziana mwanamke!?tafadhali bana,mtakuja tukana hadi mawifi zenu kwenye simu......tena bora uicheki nikiwepo,nikufume unavizia labda unadhani nimesinzia,hiyo ndo itakuwa mara ya kwanza na ya mwisho wewe kugusa simu yangu aisee!
 
Back
Top Bottom