Sometimes wanawake mnakera, hata mie nimeshawahi ulizwa mtu ambaye simfahamu kabisa kisa huyo dada ni famous kwa kugawa uroda mtaani kwetu na hupenda kuchangamkia waume za watu. Nikaulizwa unamfahamu Fulani? nikauliza ndo nani huyo? nikaambiwa mh unajifanya humjui wakati ndo superstar hapa mtaani, aaaaaaaaaaaaagrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr kweli nilipandwa na hasira ya kulazimishwa kumjua mtu ambaye hata siku moja sikuwahi kumsikia wala kumwona, lkn nikaona omvi wa nini nikamwambia twende basi ukanioneshe, nikaambulia kuambiwa kumbe namtamani. ssa tokea hapo unajua hulka ya binadamu nikawa nataka nimwone huyo anayesujudiwa kuwa ni super star, JAMANI kuja kumwona huyo dada mwenyewe hata hamu sina, kwanza nahisi kila kitu cha kununua pale alipo, WEUPE wa dukani, Makalio ya kichina, yaani nahisi hata kutapika.halafu kila mtu ana type zake anazo penda jamani wake zetu, si kila mwanamke eti kisa kajichubua na ana makalio ya kichina basi eti ndo MZURI. Nilichokifanya baada ya hapo sasa, nikagundua wife confidence imemshuka nadhani huko saluni anakokwenda walimzungumzia huyo dada kuwa ni mwizi wa waume za watu akapata wasi wasi. Jmosi moja nikampeleka shopping kidogo, halafu jioni nikampeleka pale Girrafe Hotel just kupata kaupepo na wine ya kuzugia, akafurahi vibaya mno! lastly nikamwambia unajua wewe ndo MAMA YANGU UNAYENILEA? Na MTOTO HAKUI KWA MAMA so please take care of me. (Huwa anapenda sana kusema yeye ndo mama yangu kwa sasa) Basi everything ikarudi ikawa normal

sometimes i wish this was possible.DADA ZANGU,
maswala ya wanaume muyachukulie ''kawaida''!kinyume na hilo mtakufa mapema kwa stroke
ishu ni kwamba mdada story alizopewa huko ndio zilimuwasha akitaka kumjua/kumfahamu zaidi huyo mtuhumiwa, alikuwa hana hili wala lile kuuliza mackini, majibu aliyopewa ndio hayo tena.
Eti uzungu uzungu hata ningekuwa mie Fidel ningemaka kwa sababu huyo dada sifa zake si haba sasa nikiona Mr kareact hivyo nikaekimya na kufungulia magonjwa mlango? Nyie wanaume sijui mkoje yaani mnatake kila kitu simple tu!!
Uzuri kama anamega kawaida kama anajiexpress hapo sasa msiba mwingine huo.
Wanaume bana we tuangalie tu kama tulivyo tunajua nn kilichopo moyoni mwetu.
Uzuri kama anamega kawaida kama anajiexpress hapo sasa msiba mwingine huo.
Wanaume bana we tuangalie tu kama tulivyo tunajua nn kilichopo moyoni mwetu.
. Ngoja dada akacheck afya
Huyu jamaa anareact kihalali kabisa ataulizwaje story za mdada kwani yeye zinamhusu? Unajua mambo mengine nyie wenyewe mnayakuza sasa angalia jamaa limekuwa mbogo tayari linajua huyu mdada ameshtukia dili sasa misukosuko itaanza ndani ya nyumba kwa nn asingekuwa mpole sasa.
hivi huwa hamtuhurumii jamani........unajua mie nachoka kabisa.
DADA ZANGU,
maswala ya wanaume muyachukulie ''kawaida''!kinyume na hilo mtakufa mapema kwa stroke
Hebu acheni mambo ya mkuki kwa nguruwe bana Fidel.
Hahahahahahaha Nyamayao ukijifanya mjinga utaweza kuishi vizuri tu kwa amani na upendo baadae hilo limwanaume litajirudi na kutafakari lakini ukiamua kushindana nae hapo ndo inakuwa balaa amani nyumbani inapotea wewe jifanye mjinga tu ipo siku. Inafika kipindi mwanaume anaingia na uhuruma na unahurumiwa na anajirekebisha.

Unless kama nimeshakugaia!!Hii inaweza ikakukuta hata wewe ukaulizwa unamfahamu Fidel mpo nae ofc moja alafu ukizingatia haka kajamaa ka Fidel huwa kanakumendea kanakulia matiming kila kukicha na wewe unajua hilo sasa Mr. ako anakuuliza swali kama hilo unamfahamu kajamaa kamoja kanaitwa ka Fidel lazima uruke futi 100 na pumnzi juu mara presha inaongezeka.
Yaani Geof... ingekuwa rahisi kuchukulia kama unavyoshauri.... mbona ingekuwa poa sana!
Sema hivi: ukishaamua kujiingiza kwenye pingu za maisha..ujue kifungo hicho kitakuliza, kitakusononesha, kitakuumiza na mara nyingine kukuchekesha na kukufurahisha.Yote yanapatikana humo kifungoni.
Tukirudi kwenye ushauri anaouomba MJ1,
1.Mimi nadhani shosti wako huyo yuko kwenye safari ya kumgundua vizuri huyo mumewe ( discovery). Huwezi kumwelewa vema mwenzi wako hata ukikaa naye miaka mia! Kila siku utajifunza jipya.
2.Hapo keshajifunza kuwa mumewe huyo sivyo alivyokuwa anamfikiria.Ana upande mweusi ambao hakuujua.
3.Cha kufanya, kama anajihisi kuwa mumewe huyo keshakanyaga miwaya ya mdada yule.. ajipeleke kupima tu ili ajue hali yake aanze kuishi kwa matumaini. Akijikuta hana amshukuru Mungu na ajue namna ya kuishi kwa akili na huyo mumewe. Ikiwezekana amshawishi wakapime wote japo hii ni ngumu kidogo.
MJ1,Aksante WoS ushauri wako ni murua kabisa ila hapo kwenye RED dada naomba unisaidie hata mimi mwenyewe kuishi kwa kutumia akili ndo kunakuweje tena? Akidai haki ya ndoa kabla hajapima amnyime?, ampe kwa kuvaa condom ya kike? au afanyeje maana hata sielewi
Hapo kwa Blue its out of question my sisy kwani alishawahi kumdokezea kuhusu kupima kidogo talaka imfuate nyuma!!
Ingekuwa enzi za UKIMWI free Fidel kaka yangu wala usingesikia hivi vilio vya mara kwa mara. Unadhani hatujui kuwa kila kitu kina mwanzo na mwisho? Tunajua hata nyumba ndogo zina mwisho tatizo ni huu ugonjwa maana huwezijua. Kuna mama mmoja mumewe alimkimbia for 12 solid years, akamwacha na watoto wake mama akalia weee mwisho akazoea na kukubali akaanza kupiga mzigo maisha yakaendelea.
After 12 year mume akarudi analia anaomba asamehewe arudi nyumbani. Mama akakataa ndugu wakaingilia kati na kuanza kumsakama mmama wa watu hadi akakubali wakarudiana-sijui alipoteaje wakado ya kudo kumbe jamaa ndo alishaukwaa kamletea mama.
Aksante WoS ushauri wako ni murua kabisa ila hapo kwenye RED dada naomba unisaidie hata mimi mwenyewe kuishi kwa kutumia akili ndo kunakuweje tena? Akidai haki ya ndoa kabla hajapima amnyime?, ampe kwa kuvaa condom ya kike? au afanyeje maana hata sielewi
Hapo kwa Blue its out of question my sisy kwani alishawahi kumdokezea kuhusu kupima kidogo talaka imfuate nyuma!!