Inakuwaje ukilipa ada halafu ukapata mkopo?

Kwa UDSM ili usajiliwe unatakiwa ulipe Ada walau Shingapi???? Ikiwa umekosa mkopo (Ada) kabisa 0%

Sent using Jamii Forums mobile app
UDSM ili usajiliwe ada lazima uwe umetoa yote sio nusu ila huwezi kulazimishwa kulipa ada utaendelea kusoma huku hujasajiliwa shida test zikianza haufanyi mpaka uwe umesajiliwa kwa hiyo unaweza ukasoma mwezi ukapita ukiwa hujasajiliwa
 
Vipi hostel kupangiwa, huwa wanapanga first year wote?
 
Hostels first year karibu wote wanapangiwa kwa sababu ndio kipaombele japo kuna watu wachache wanakuwa hawajapangiwa ambapo wanatakiwa kumuona USAB na anasaidiwa
Maana mie hawajanipangia hawa wanadamu, sijui wanawaza nini. Wakati kwenye admission letter wameandika first year wote wanapata hostel
 
Maana mie hawajanipangia hawa wanadamu, sijui wanawaza nini. Wakati kwenye admission letter wameandika first year wote wanapata hostel
Wahi uende kesho au jumatatu utapangiwa na unapata kwa sababu hata hivyo sio wote waliopangiwa wanakaa huko wengine watoto wa maboss hawataki kujichanganya so vyumba vinakuwa havina watu hata kama watachelewa lakini watakupangia
 
Wahi uende kesho au jumatatu utapangiwa na unapata kwa sababu hata hivyo sio wote waliopangiwa wanakaa huko wengine watoto wa maboss hawataki kujichanganya so vyumba vinakuwa havina watu hata kama watachelewa lakini watakupang
Upo hapo au ushamaliza
 
Hivi inakuaje ukalipa ada chuo halafu badae batch 3 ikaja unakuta umepata mkopo. Je, watanirudishia ada?

Au nisubiri hadi batch 3 itoke

Chuo chenyewe ni UDSM
Mkuu haurudishiwi ada sema inakuwa inaongezewa kwenye ada utakayotakiwa kuwa unaongezewa kama utapata mkopo chini ya 100% mi mwenyewe nililipa ada 60% ya ada ya mwaka ila nikapata mkopo batch 3 kwa iyo ikawa inapunguzwa kidogo kidogo kila mwaka
 
👍
 
Au utaratibu ukoje mazee yn nimepata mkopo % halafu wanasema nilipe eti laki mbili nimewambia mm sina nisajirin nikipata mkopo nitalipa hawataki eti nilipe mkopo ukiingia watanirudishia hv huu c ushenz

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Direct costs za universities ziko nje ya mkopo.. unatakiwa uzilipe mwenyewe direct chuoni
 
Kwa anayeenda Udom course ya afya (nursing) direct cost ni sh ngap kwa ujumla?.. Naombeni msaada kwa hilo.
 
UDSM ili usajiliwe ada lazima uwe umetoa yote sio nusu ila huwezi kulazimishwa kulipa ada utaendelea kusoma huku hujasajiliwa shida test zikianza haufanyi mpaka uwe umesajiliwa kwa hiyo unaweza ukasoma mwezi ukapita ukiwa hujasajiliwa
Duuuuh haya Mauaji Sasa mm nimeshalipa Nusu ya Ada na nilipanga nyingine nimalizie second semester daaaah mbona hii Ni kero sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom