Si ukope mkuuAu utaratibu ukoje mazee yn nimepata mkopo % halafu wanasema nilipe eti laki mbili nimewambia mm sina nisajirin nikipata mkopo nitalipa hawataki eti nilipe mkopo ukiingia watanirudishia hv huu c ushenz
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Si ukope mkuu
Life is not fairHaha..uku umekopa bodi uku unamkopa sombody..tutakoma kwlkwl
Life is not fair
Kwenye admission letter wameandika first year wote wanapata hostel. Niliwapigia UDSM wakasema tukifika chuo wanatupaMi ninalia nimekosa hostel dah[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Kwenye admission letter wameandika first year wote wanapata hostel. Niliwapigia UDSM wakasema tukifika chuo wanatupa
97,000/= na Accommodation 108000/= kwa Magufuli na Nyerere HostelNawaza apo UDSM watataka niwape kias gan kwanza.!
Wametangaza leo kupitia account ya ARISUmefika ukakosa au
97,000/= na Accommodation 108000/= kwa Magufuli na Nyerere Hostel
97000Je kama nakaa nje!?
Hizo ni direct cost mzee, lipa tuAu utaratibu ukoje mazee yn nimepata mkopo % halafu wanasema nilipe eti laki mbili nimewambia mm sina nisajirin nikipata mkopo nitalipa hawataki eti nilipe mkopo ukiingia watanirudishia hv huu c ushenz
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Sema kweli kaka[emoji33][emoji33][emoji33][emoji33]Kwenye admission letter wameandika first year wote wanapata hostel. Niliwapigia UDSM wakasema tukifika chuo wanatupa
Kaka hapa sijakuelewa kwenye 97000 na 108000 embu chambua vizuri97,000/= na Accommodation 108000/= kwa Magufuli na Nyerere Hostel
SAUT ya Mwanza au?
Kwani ni lazima hostel kjna, so ukapange mtaani ujifunze na life pia..!!Mi ninalia nimekosa hostel dah[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Hata mzumbe ...unalipa lak mbili na 65Nimeenda chuoni wananambia eti nilipe laki mbili vimichango vyao ili nisajiriwe mm hela sina. Sasa nimepata mkopo nashidwa elewa baada wanisajiri hlf ikiingia nitawarudishia wanazingua shenzi hawa
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Nimeongea nao jioni hiiSema kweli kaka[emoji33][emoji33][emoji33][emoji33]
Hapo Direct cost 97000 na 108000 ya accommodation kwa Magufuli na Mwalimu Nyerere HostelKaka hapa sijakuelewa kwenye 97000 na 108000 embu chambua vizuri