Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 10,883
- 2,765
Hili swali limenijia tu baada ya kuwaza kidogo. RA ninavyomfahamu ni mtu wa karibu wa jk na wadau wengine serikalini. Kwa nyadhifa alizo nazo ndani ya chama na serikali ni mtu ambaye hapaswi kunyimwa uwaziri. Wajuzi mtuambie, jk ni mbaguzi? Au kuna ishu kati yao inayomfanya jk kumweka RA back stage.
Hana haja na uwaziri kwasababu hiyo itamfanya apunguze au aache kabisa deal zake, maana mtakuwa mnatolea macho kwa kila move anayofanya
labda akawe waziri wamambo ya ndani wa irani.Labda atapewa uwaziri wa mambo ya ndani, nchi hii imeshakuwa kichwa cha mwenda wazimu.
Kwani Rais wa Tz ni nani? Kwani Rais atawezaje kuwa waziri tena? Hiyo ngumu jamani. Mwenye nchi hii ni Rostam, ni yeye anayependekeza nani awe waziri wa wizara gani.
Hili swali limenijia tu baada ya kuwaza kidogo. RA ninavyomfahamu ni mtu wa karibu wa jk na wadau wengine serikalini. Kwa nyadhifa alizo nazo ndani ya chama na serikali ni mtu ambaye hapaswi kunyimwa uwaziri. Wajuzi mtuambie, jk ni mbaguzi? Au kuna ishu kati yao inayomfanya jk kumweka RA back stage.
na huyu tena. hawa watu ni moto wa pumbaNa Luteni Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana je? Amekuwa campaign manager wa Mkapa, sasa Kikwete akishamaliza anajichimbia wapi sijui! Nchi hii kuna watu wananguvu sana pale kwenye CC ya CCM. Hawahitaji UWAZIRI.
Raia Fulani, nafasi ya uwaziri kwa RA sio dili, yeye ni King Maker, yaani ndiye anayemuweka rais aliyemadaraka, kwa lugha nyingine, rais ni mtumishi wake. Ni yeye aliyemuweka JK madarakani, ni yeye aliyemuondoa Msekwa kwenye uspika na kumuweka Siita. Kosa ya Sitta ni kumtumia Mwakiembe kummaliza EL ambae ni mtu wake wa karibu, tayari Sitta keshapata malipo ya kazi yake kwa kumtoa uspika na yeye aliyemuweka Anna Makinda. Mtu kama huyu bado anauhitaji uwaziri wa nini wakati rais mwenyewe ni mtumishi wake tuu.Hili swali limenijia tu baada ya kuwaza kidogo. RA ninavyomfahamu ni mtu wa karibu wa jk na wadau wengine serikalini. Kwa nyadhifa alizo nazo ndani ya chama na serikali ni mtu ambaye hapaswi kunyimwa uwaziri. Wajuzi mtuambie, jk ni mbaguzi? Au kuna ishu kati yao inayomfanya jk kumweka RA back stage.