Inakuwaje Rostam hawi waziri?

Raia Fulani

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
10,770
2,544
Hili swali limenijia tu baada ya kuwaza kidogo. RA ninavyomfahamu ni mtu wa karibu wa jk na wadau wengine serikalini. Kwa nyadhifa alizo nazo ndani ya chama na serikali ni mtu ambaye hapaswi kunyimwa uwaziri. Wajuzi mtuambie, jk ni mbaguzi? Au kuna ishu kati yao inayomfanya jk kumweka RA back stage.
 
Kazi yake kuchonga ma-deal na issue za vijisenti tu...uwaziri wa nini????
 
Ni ushahidi kuwa hana nia ya kweli ya kuifanyia kazi serekali na wananchi wa Tz.

Anachotaka anakipta chote na uwaziri hautamuongezea chochote cha zaidi....na infact utakuwa bughdha kwa malengo yake ya kifisadi...kwani bungeni amechangia nini?

Wale wananchi pale Igunga ..anawalea na kuwafuga.. kama mtu anvyofuga kuku wa mayai au wa nyama...kwani wanampatia kipato...

Hana mapenzi ya kweli ya wale watu pale igunga...anawatumia kama raw material ya kiwanda cha kuzalisha magodoro .... Mwishoni? ni amjipatia sh ngapi kama faida..huyo ndinye fiadi!
 
Hili swali limenijia tu baada ya kuwaza kidogo. RA ninavyomfahamu ni mtu wa karibu wa jk na wadau wengine serikalini. Kwa nyadhifa alizo nazo ndani ya chama na serikali ni mtu ambaye hapaswi kunyimwa uwaziri. Wajuzi mtuambie, jk ni mbaguzi? Au kuna ishu kati yao inayomfanya jk kumweka RA back stage.

MH! Ajabu!!!!!! Umemuonaje kama hafai kunyimwa uwaziri. Nawe unaubia naye? Mie Namwona hafai kuwa waziri.

Rostam ni Mchonga dili halafu pale penye dalili ya kuwa na soo anakupa wewe waziri uingie mkenge. Hawezi kukubali kazi ya uwaziri kwani soo atafanyiwa na nani?
Mtu kama Rostam atatajwa tu katika makashfa lakini kumtia hatiani itakuwa ngumu kwani yeye atachonga halafu watekelezaji ni wengine.
 
Kuna jamaa mmoja wa Kihindi pale Dar-es-Salaam nilizungumza naye kabla ya matokeo ya uchaguzi kutangazwa. Yeye aliniambia kuwa kama Dr. Slaa angetangazwa mshindi Rostum alikuwa tayari kuihama nchi. Deals zake nyingi ni za kuiibia Tanzania.
 
Hana haja na uwaziri kwasababu hiyo itamfanya apunguze au aache kabisa deal zake, maana mtakuwa mnatolea macho kwa kila move anayofanya
 
Hana haja na uwaziri kwasababu hiyo itamfanya apunguze au aache kabisa deal zake, maana mtakuwa mnatolea macho kwa kila move anayofanya

Labda atapewa uwaziri wa mambo ya ndani, nchi hii imeshakuwa kichwa cha mwenda wazimu.
 
Kwani Rais wa Tz ni nani? Kwani Rais atawezaje kuwa waziri tena? Hiyo ngumu jamani. Mwenye nchi hii ni Rostam, ni yeye anayependekeza nani awe waziri wa wizara gani.
 
Kwani Rais wa Tz ni nani? Kwani Rais atawezaje kuwa waziri tena? Hiyo ngumu jamani. Mwenye nchi hii ni Rostam, ni yeye anayependekeza nani awe waziri wa wizara gani.

Yep, huo ndo ukweli. Raisi wa nchi hii ni ROSTAM AZIZ, kikwete ni Proxy (Raisi Kivuli) na ndo maana kazi yake ni kusafiri tu, ila mtendaji ni Rostam. Na nahisi hata speach za Kikwete lazima Rostam aziaprove. Sio uraisi tu, Rostam pia ndo mwenyekiti mkuu wa CCM, jk ni mwenyekiti msemaji. Hata sisi wana CCM tunaumia sana kuona chama kinaongozwa na mtu ambaye hata hatujamchagua.
 
Kuna watu kama Lowasa. Huyu anajulikana kuwa ni fisadi lakini hadi urais anautamani lakini ajabu inavyoonekana RA hata unaibu waziri hataki. Nimeuliza nikijua fika kuwa kumpa RA uwaziri ni sawa na kumpa mchawi mtoto amlee.
 
The guy is Asian......Pure B'ness man.....yeye ndo anawapanga hao mawaziri......Then anakua anapiga ERA tu.....
 
Na Luteni Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana je? Amekuwa campaign manager wa Mkapa, sasa Kikwete akishamaliza anajichimbia wapi sijui! Nchi hii kuna watu wananguvu sana pale kwenye CC ya CCM. Hawahitaji UWAZIRI.
 
Hili swali limenijia tu baada ya kuwaza kidogo. RA ninavyomfahamu ni mtu wa karibu wa jk na wadau wengine serikalini. Kwa nyadhifa alizo nazo ndani ya chama na serikali ni mtu ambaye hapaswi kunyimwa uwaziri. Wajuzi mtuambie, jk ni mbaguzi? Au kuna ishu kati yao inayomfanya jk kumweka RA back stage.

Yeye ana cheo kisichokuwemo kwenye katiba yaani Chief Financial Architect ; hivyo michoro yote ya maswala hayo yeye either huichora au huifanyia Quality assuarance
 
Na Luteni Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana je? Amekuwa campaign manager wa Mkapa, sasa Kikwete akishamaliza anajichimbia wapi sijui! Nchi hii kuna watu wananguvu sana pale kwenye CC ya CCM. Hawahitaji UWAZIRI.
na huyu tena. hawa watu ni moto wa pumba
 
1.Hajakamilisha suala la uraia wake
2.Hana uwezo kielimu
3.Uwaziri haulipi maana hataweza kumwamrisha Rais kama anavyofanya sasa
 
Hili swali limenijia tu baada ya kuwaza kidogo. RA ninavyomfahamu ni mtu wa karibu wa jk na wadau wengine serikalini. Kwa nyadhifa alizo nazo ndani ya chama na serikali ni mtu ambaye hapaswi kunyimwa uwaziri. Wajuzi mtuambie, jk ni mbaguzi? Au kuna ishu kati yao inayomfanya jk kumweka RA back stage.
Raia Fulani, nafasi ya uwaziri kwa RA sio dili, yeye ni King Maker, yaani ndiye anayemuweka rais aliyemadaraka, kwa lugha nyingine, rais ni mtumishi wake. Ni yeye aliyemuweka JK madarakani, ni yeye aliyemuondoa Msekwa kwenye uspika na kumuweka Siita. Kosa ya Sitta ni kumtumia Mwakiembe kummaliza EL ambae ni mtu wake wa karibu, tayari Sitta keshapata malipo ya kazi yake kwa kumtoa uspika na yeye aliyemuweka Anna Makinda. Mtu kama huyu bado anauhitaji uwaziri wa nini wakati rais mwenyewe ni mtumishi wake tuu.

Kuthibitisha hili, JK atamrudisha EL na Sitta atamwagwa jumla, 2015 ni RA ataeamua rais ajaye ni nani!.
 
JK aliutaka Urais. Akawa hajui ataupataje ndani ya mfumo katili kabisa wa CCM( Sitta na JSM hawatawasahau kabisa hawa jamaa wa CC ya CCM!). Akina RA, EL, wakamwona anauzika. Wakamnunua wao kwanza. Nusura awe Rais mwaka 1995. Mwalimu akawepo. Mwalimu akafariki mwaka 1999. Kizingiti kikubwa kabisa kikawa kimeondoka. Akina RA wakawa na nguvu zaidi. JK naye hamu ya Urais ikaongezeka maradufu. Wakafanikiwa. Historia ikawekwa. Tukawa na Rais wa kwanza TAnzania kwa kampeni chafu kabisa kuwahi kuwepo. Yanayoendelea na yaliyobaki ni muendelezo wa sakata hili.
Sio CCM wala Tanzania itarudi tulikokuwa kwenye MAADILI MEMA ya UONGOZI. Atakayejitokeza kutaka kuturudisha huko atachinjiwa baharini. Muulizeni Sitta kama mnabisha.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom