Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,320
- 3,474
Hili swali limenijia tu baada ya kuwaza kidogo. RA ninavyomfahamu ni mtu wa karibu wa jk na wadau wengine serikalini. Kwa nyadhifa alizo nazo ndani ya chama na serikali ni mtu ambaye hapaswi kunyimwa uwaziri. Wajuzi mtuambie, jk ni mbaguzi? Au kuna ishu kati yao inayomfanya jk kumweka RA back stage.