Jimmy De Lite
JF-Expert Member
- Jun 10, 2019
- 635
- 2,305
Kila m2 anapenda apate jaman mwachen ommy afarijike kapitia wakat mgum
una maanisha Afrimma wamemwonea huruma D'mpoz?Kila m2 anapenda apate jaman mwachen ommy afarijike kapitia wakat mgum
Vp kwa Harmonize bro?Tetema ni nyimbo mbovu sana, rayvanny anapaishwa na mond Tu sa hv, Ila now day anatoa vituko, nyimbo kama natafuta kiki, mbeleko ni bonge za pini lakn Tangu aanze kuimba utumbo kama pochi Nene, Nyegezi, Timua vumbi, na hyo tetema ni uozo mtupu
Ni halali Kwa Ommy Dimpoz kumpita,
Tetema unaweza fananisha na Wimbo gani wa Ommy toka ameanza mziki?????Tetema ni nyimbo mbovu sana, rayvanny anapaishwa na mond Tu sa hv, Ila now day anatoa vituko, nyimbo kama natafuta kiki, mbeleko ni bonge za pini lakn Tangu aanze kuimba utumbo kama pochi Nene, Nyegezi, Timua vumbi, na hyo tetema ni uozo mtupu
Ni halali Kwa Ommy Dimpoz kumpita,
tetema? Au haujui mziki ni nini!Tetema unaweza fananisha na Wimbo gani wa Ommy toka ameanza mziki?????Ommy hakuna anachofanyaa akalalee tuu... Lavalava mwenyewe anamfunika ommy
nyongeza tu "kwako boy"Tetema unaweza fananisha na Wimbo gani wa Ommy toka ameanza mziki?????Ommy hakuna anachofanyaa akalalee tuu... Lavalava mwenyewe anamfunika ommy
Unazingua Mzee ebu ReView Ngoma zata Ommy, urudi hapa ufute Kauli yakoTetema unaweza fananisha na Wimbo gani wa Ommy toka ameanza mziki?????Ommy hakuna anachofanyaa akalalee tuu... Lavalava mwenyewe anamfunika ommy
Ngoma gani mpaka uwe fan wake ndo uzijue????Unazingua Mzee ebu ReView Ngoma zata Ommy, urudi hapa ufute Kauli yako
una onekana una stress na maisha bro!Ngoma gani mpaka uwe fan wake ndo uzijue????Ngoma kali hata kama hufatilii mziki unazipata na kuzisikia... achana na huyo sijui anaimba utumbo gani
Maudhui/ujumbe ya Tetema ni yapi ... Maana nyimbo ulizotaja maudhui yake ni hovyohovyo ....Tetema unaweza fananisha na Wimbo gani wa Ommy toka ameanza mziki?????Ommy hakuna anachofanyaa akalalee tuu... Lavalava mwenyewe anamfunika ommy
Ongeza sautiiii aseee.... Eti Kanyaga ukimuuliza Kuna ujumbe gani hatokujibu, Inama sijui pochi Nene .... Hiyo ni miziki ya kubanjuka tu huwezi kuisikiliza dunia ingine...tetema? Au haujui mziki ni nini!
Ommy Dimpoz ana ngoma kali sana ambazo rayvany hajazifikia, pengine hatoweza kuzifikia.
Wanao ujua mziki na maana yake ndiyo maana wamempatia na watazidi kumpatia Ommy haki yake.
Tetema na nyimbo kama hizo ni nyimbo za kusikiliza tu hapa mtaani, lakini siyo huko Kwenye dunia ya watu.
Pia watu wamekariri "wasafi wasafi" hata ikitoka wimbo mbovu, bado wafuasi wa wcb watataka tu kuupaisha japo haufai.
Sauti iko sawa au niongeze!
Acha wivu basi mtoto wa kuime, napendaga sana ule 'mmmh mmhh' aliompa Will Paul, ni kati ya nyimbo zinazofanya niufurahie huu mwakaTetema ni nyimbo mbovu sana, rayvanny anapaishwa na mond Tu sa hv, Ila now day anatoa vituko, nyimbo kama natafuta kiki, mbeleko ni bonge za pini lakn Tangu aanze kuimba utumbo kama pochi Nene, Nyegezi, Timua vumbi, na hyo tetema ni uozo mtupu
Ni halali Kwa Ommy Dimpoz kumpita,
Huo wimbo ni mzur Sana, tatizo ubao unasoma sio wimbo wake....ukweli Tu ni kuwa Rayvanny sa hv anatoa nyimbo za hovyooooo saana.....zinapigiwa promo sana Ila kwenye soko hazitoboi.....na kama asingekuwa anamshirikisha Mond hzo nyimbo zingekuwa zishamtupa nje ya mashindano, anatakiwa aimbe ana saut nzuri Sana kuliko wote pale WCB, sasa akianza kuingiza radha za hip-hop ndo atapotea kama Mr blueAcha wivu basi mtoto wa kuime, napendaga sana ule 'mmmh mmhh' aliompa Will Paul, ni kati ya nyimbo zinazofanya niufurahie huu mwaka
Ukitaka maudhui kasikilize Tenzi au kaswidaMaudhui/ujumbe ya Tetema ni yapi ... Maana nyimbo ulizotaja maudhui yake ni hovyohovyo ....