Inakuwaje Ommy Dimpoz anaingia kwenye Category nyingi za Afrimma kuliko Harmonize na Rayvany?

Jimmy De Lite

JF-Expert Member
Jun 10, 2019
635
2,304
Hey Guys,,,

I hope mko poa

Nimeziangalia Tuzo za Afrimma na category zake zimenishangaza sana,

Kitu kilicho nishangaza ni kuona Omary Nyembo akiingia kwenye category tatu huku Harmonize na Rayvany wakiambulia category moja ambayo pia Ommy Dimpoz yumo pamoja na Alikiba na Diamond (Best male E`Africa).

Kinacho nishangaza ni kuona Harmonize na Rayvany wakifanya vzr kuliko Ommy Dimpoz ila kwenye tuzo kawapita kwa kuingiza ngoma karibia mbili.

Hivi Kati ya Tetema by Rayvany ft Diamond na Rock star by Ommy Dimpoz ft Alikiba ni ngoma ipi ilistahili kuingizwa kwenye category ya best collaboration of the year? Eti maajabu ni Rock star ndo ime ingia!! Kweli?

Au ndo ukiwa chini ya mtu huwezi kuonekana kama wahenga wasemavyo?

Je,Kainama ya Harmonize ft Diamond & Burna boy?

Afrimma mmezingua sanaaaaaaa.
 
Tetema ni nyimbo mbovu sana, rayvanny anapaishwa na mond Tu sa hv, Ila now day anatoa vituko, nyimbo kama natafuta kiki, mbeleko ni bonge za pini lakn Tangu aanze kuimba utumbo kama pochi Nene, Nyegezi, Timua vumbi, na hyo tetema ni uozo mtupu
Ni halali Kwa Ommy Dimpoz kumpita,
 
Vp kwa Harmonize bro?
 
Tetema unaweza fananisha na Wimbo gani wa Ommy toka ameanza mziki????? Ommy hakuna anachofanyaa akalalee tuu... Lavalava mwenyewe anamfunika ommy
 
tetema? Au haujui mziki ni nini!
Ommy Dimpoz ana ngoma kali sana ambazo rayvany hajazifikia, pengine hatoweza kuzifikia.
Wanao ujua mziki na maana yake ndiyo maana wamempatia na watazidi kumpatia Ommy haki yake.
Tetema na nyimbo kama hizo ni nyimbo za kusikiliza tu hapa mtaani, lakini siyo huko Kwenye dunia ya watu.
Pia watu wamekariri "wasafi wasafi" hata ikitoka wimbo mbovu, bado wafuasi wa wcb watataka tu kuupaisha japo haufai.

Sauti iko sawa au niongeze!
 
nyongeza tu "kwako boy"
Kuna watu wanatoa pini kali sana, sema nyie kwakuwa wasafi pekee ndiyo mnadhani ni wanamziki pekee hapa bongo, ndiyo mkisikia Ommy kawazidi akina wcb mnaanza kulowa.
 
tetema? Au haujui mziki ni nini!
Ommy Dimpoz ana ngoma kali sana ambazo rayvany hajazifikia, pengine hatoweza kuzifikia.
Wanao ujua mziki na maana yake ndiyo maana wamempatia na watazidi kumpatia Ommy haki yake.
Tetema na nyimbo kama hizo ni nyimbo za kusikiliza tu hapa mtaani, lakini siyo huko Kwenye dunia ya watu.
Pia watu wamekariri "wasafi wasafi" hata ikitoka wimbo mbovu, bado wafuasi wa wcb watataka tu kuupaisha japo haufai.

Sauti iko sawa au niongeze!
Ongeza sautiiii aseee.... Eti Kanyaga ukimuuliza Kuna ujumbe gani hatokujibu, Inama sijui pochi Nene .... Hiyo ni miziki ya kubanjuka tu huwezi kuisikiliza dunia ingine...
 
Tetema ni nyimbo mbovu sana, rayvanny anapaishwa na mond Tu sa hv, Ila now day anatoa vituko, nyimbo kama natafuta kiki, mbeleko ni bonge za pini lakn Tangu aanze kuimba utumbo kama pochi Nene, Nyegezi, Timua vumbi, na hyo tetema ni uozo mtupu
Ni halali Kwa Ommy Dimpoz kumpita,
Acha wivu basi mtoto wa kuime, napendaga sana ule 'mmmh mmhh' aliompa Will Paul, ni kati ya nyimbo zinazofanya niufurahie huu mwaka
 
Huo wimbo ni mzur Sana, tatizo ubao unasoma sio wimbo wake....ukweli Tu ni kuwa Rayvanny sa hv anatoa nyimbo za hovyooooo saana.....zinapigiwa promo sana Ila kwenye soko hazitoboi.....na kama asingekuwa anamshirikisha Mond hzo nyimbo zingekuwa zishamtupa nje ya mashindano, anatakiwa aimbe ana saut nzuri Sana kuliko wote pale WCB, sasa akianza kuingiza radha za hip-hop ndo atapotea kama Mr blue
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom