Inakuwaje Ommy Dimpoz anaingia kwenye Category nyingi za Afrimma kuliko Harmonize na Rayvany?

Nimeuliza swali muziki ni mashairi au melody? Hizo pumba zako kawashie mkaa
ukweli ni kwamba hilo swali lako halina jibu sababu mziki haubebwi na hivyo vitu ulivyotaja
hivyo vipengele ndani ya music. na sio kuwa ndo vinabeba maana ya music. kajifunze bro sio unaropoka.
 
Mnasupport youtube na si sportfy,kule unalipia unasikiliza.Mngekuwa mnasuport kazi kwa kulipia online leo hii mdundo,mkito na wasafi.com zisingekufa na wao walikuwa wanatoza kwa Tsh,sasa kulipia kwa dollar ndio mtaweza sportfy.
Kwenye Youtube huku wabongo mnaongoza sababu kitonga,ila Itunes,Sportfy,Tidal,Shazam wanaongoza ni Kenya ndio maana Kenya mziki unalipa kuliko bongo,bongo hapa tunasubiri kwa kideboy tukapakue bure na kusikiliza bure Youtube.
Mi namsubiriaga dj Mwanga atupiemo nijipakulie
 
Huo wimbo ni mzur Sana, tatizo ubao unasoma sio wimbo wake....ukweli Tu ni kuwa Rayvanny sa hv anatoa nyimbo za hovyooooo saana.....zinapigiwa promo sana Ila kwenye soko hazitoboi.....na kama asingekuwa anamshirikisha Mond hzo nyimbo zingekuwa zishamtupa nje ya mashindano, anatakiwa aimbe ana saut nzuri Sana kuliko wote pale WCB, sasa akianza kuingiza radha za hip-hop ndo atapotea kama Mr blue
Kimsingi ule wimbo ni wake amempa tu yule ndezi wa kikenya, amepita mulemule alimopita kwenye wimbo wake wa 'SIKUPENDI' so ni kama remix tu ile
 
ukweli ni kwamba hilo swali lako halina jibu sababu mziki haubebwi na hivyo vitu ulivyotaja
hivyo vipengele ndani ya music. na sio kuwa ndo vinabeba maana ya music. kajifunze bro sio unaropoka.
Una kichwa cha tenzi ila unaandika ukush
 
Back
Top Bottom