Hivyo vyote ambavyo hana ni kwa mtizamo wako, wake au wa kila mtu anaemzunguka??
Mambo lizzy!
Miss you much sis!
Long time no see!
Eti we apo KE au ME?
Kila mtu ana akili sema tu tunatofautiana, kila mtu ana mvuto, na mvuto wa mtu sio lazima uwe kwa wote....
umeona eeeh kama ye anaona hana akili,mvuto, kuna wanao ona hivyo vigezo vipo
ndo ivo..unakuta mtu anaamini mtu aliye naye ni full mvuto kumbe wengne pembeni wanajiuliza ivi kampendea nin huyo???
Kwa kua wewe humpendi ndo umtukane
hapo ukute kamtolea nje analeta hadisi ya sizitaki mbichi hizi