cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,101
- 181,169
😂😂😂😂Mwaka juzi ripoti zilionesha walipigwa sijui bilioni ngapi kwenye michango yao ya kufa na kuzikana
😂😂😂😂Mwaka juzi ripoti zilionesha walipigwa sijui bilioni ngapi kwenye michango yao ya kufa na kuzikana
Hata sisi wananchi pia ni mazezeta, nchi nzima tunalazimishwa kununua gesi ya mtu mmoja..Polisi walio wengi ni vilaza! hivyo waachwe tu waendelee kuibiwa.
Poa. Tuma namba yako ya simu tukurushie salio hapo 5m ukale udagaNataka muendeshe "Rozi Rozi"/Rolls Royce zaidi ili akili ziwakae vema hao mandula aka polisi.
Ni Tanzania pekeeNi jambo la kushangaza hawa FFF kila siku wanadeal na wanachadema wakati wenzao wanapiga madeal ya vifaa na tender za angel kizigha.
Ni aibuu see sisi wananchi kujua eti walinzi wa raia na mali zao nao wanaibiwa.