Inakuwaje mtu anawaibia Polisi?

Inakuwaje mtu anawaibia Polisi?

Ni jambo la kushangaza hawa FFF kila siku wanadeal na wanachadema wakati wenzao wanapiga madeal ya vifaa na tender za angel kizigha.

Ni aibuu see sisi wananchi kujua eti walinzi wa raia na mali zao nao wanaibiwa.
Wanaibiwa vizuri tu, in two ways ya kwanza ni bureaucracy polis wasio waadilif wakishirikiana na wezi (watu wazito) ya pili ni tech, wenzetu wako si advanced kuwaibia polisi ni kama umetanga WWIII
 
Ni jambo la kushangaza hawa FFF kila siku wanadeal na wanachadema wakati wenzao wanapiga madeal ya vifaa na tender za angel kizigha.

Ni aibuu see sisi wananchi kujua eti walinzi wa raia na mali zao nao wanaibiwa.
mlinzi ndio mwizi isha onesha kila dalili
 
Polisi walio wengi ni vilaza! hivyo waachwe tu waendelee kuibiwa.
 
Back
Top Bottom