ungemuuliza mwajili wako hapa sio mahala pake !!!!wakuu nashangaa sana mpaka jana ka account kangu bado katupu hapa udsm kulikoni?????
...Haahaaahaaahaaa..baelezeee mazee!! magamba watawatoa roho aisee...Billioni tatu Igunga unadhani zimetoka wapi? Wakuu wote wa UDSM ni makada wa magamba unategemea nini?
Mpaka leo??? Mnaishije??
ungemuuliza mwajili wako hapa sio mahala pake !!!!
Wakuu nashangaa sana mpaka jana ka account kangu bado katupu hapa UDSM kulikoni?????
UDSM walimu wengi wanaipinga serikali ya JK, kwa hiyo hii ni kama adhabu kwao. Kingine, serikali yetu inatumia pesa nyingi sana kwenye mambo yasiyo kuwa na tija n kuruhusu mambo yaende ende bila mpangilio. Ile nidhamu aliyoiacha mzee wa utandawazi kwa wafanyakazi saizi inapotea taratibu. Watu wanaanza kuona private sector zinalipa kuliko serikalini which is very dangerous for our country economy.
Naomba niwakumbuke wahenga wote mliochangia katika Uzi huu. kama upo alive sema Mungu mkubwaSerikali ya ajab sana! Mi mwenyewe mshahara uliingia jana jioni! Mshahara wenyewe Mdogo afu wanashindwa ku2lipa watumishi!