mamboz wana jf, polen kwa kuimiss jf. Hivi ni kwanini watu wanaweza kumudu kuwa wapenzi "boyfriend na girlfriend" kwa muda wa mwaka au zaidi ya mwaka then wakifunga ndoa hawamalizi hata mwaka wanatalikiana?? hii inatokana na nini?
na yanadumu sana kwani hamuko mda wote pamoja mpaka mkaanza kuboanamapenzi ya mbali na ya kuiba ni matam asikuambie mtu
wengi wakiwa mbali wanaficha makucha yao ila pale mkiaanza kuishi wote yani ukiamka asubui mtu wa kwanza kumuona ni huyo na usiku mtu wa mwisho kumuona ni yeye kabla ya kulala basi itafikia hatua utashindwa kuyaficha makucha yako na atakujua tu na hapo ndio ndoa huenda mrama bada ya kujuana kwa undani zaidimamboz wana jf, polen kwa kuimiss jf. Hivi ni kwanini watu wanaweza kumudu kuwa wapenzi "boyfriend na girlfriend" kwa muda wa mwaka au zaidi ya mwaka then wakifunga ndoa hawamalizi hata mwaka wanatalikiana?? hii inatokana na nini?
hapo kwenye line kuna vingine havivumiliki kabisa yani na haviwezi kubadilika kabisa bora tu muachane@Charminggirlsasa kuna maana gani kuwa wapenz kabla ya ndoa. me nafikiri ndoa yahitaji uvumilivu wa hali ya juu make kila m1 anakuwa amekulia ktk mazingira tofauti tofauti!
Karibu mwaya Charminggirl, maisha haya we acha tuu. Sometimes ujue tunashindwa na hisia za miili. Sual la ndoa lahitaji sana hekima na kuushirikisha ubongo pia. Hatatakiwi kutawaliwa na hisia zaidi. Eti utasikia mtu anamwambia mumewe "siku hizi hunipendi, mbona zile baby baby siku hizi hazipo?", ilhali wana watoto tayari. haya ndo mambo yanayoaleta mitafaruku kwa ndo za siku hizi.
Ndoa ni taasisi, bwana, haitofatuiani na Serikali, lol. Akili kichwani ndo itawale matendo yoote ya ndoani.
hapo kwenye line kuna vingine havivumiliki kabisa yani na haviwezi kubadilika kabisa bora tu muachane@Charminggirl