Inakuwaje hii ya uwezo?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Inakuwaje hii ya uwezo??

Discussion in 'JF Doctor' started by ngoshwe, Dec 17, 2011.

 1. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #1
  Dec 17, 2011
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  mwanzoni mwa wiki hii nilisikiliza kipindi cha pb cha cloudsfm, kuhusu matangazo ya kuahamasisha maisha na vvu. Nikamsikia “uwezo mmoja” anasema yeye ni mwalimu anaishi na vvu takriban miaka 10sasa, ila kinga ya mwili wake ipo juu. Ila mkewe nae hana vvu. Wana watotowawili moja ana miaka 10 na mwingine anamiaka miwili ila wote hawana vvu..
  nilishindwa kelewa ilikuwaje kwa bw.uwezo ambae ameathirika takribani miaka kumi iliyopita akashindwa kumwambukizamkewe wakati wa kumtatufa mtoto wao mwenye miaka miwili ??? Inawezekana mke akapata ujauzito lakini asiambukizwe ukimwi
   
 2. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #2
  Dec 17, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Mtu hupata hiv kutokana na kirusi kuweza kuji-attach kwenye 'binding factor' ambayo ni unique na iko kwenye uso wa seli nyeupe ya damu. Kuna baadhi ya watu wanazaliwa bila kuwa na binding factor (genetic disorder). Hao hawawezi kupata ukimwi. Hiyo ni scenario ya kwanza.
  Ya pili, ambayo ina slim chance ni kutokua na michubuko wakati wa tendo la ndoa. Haya,muwaandae wenzenu kwa uzuri na msikomeshiane, bt don't take chance,lol!
   
Loading...