Inakuhusu!!!

Price

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
1,502
Reaction score
922
Mfano ikatokea tunachagua viongozi wa JF...... Je! ungependa nani awe Mwenyekit, Nan mweka hazina na nani awe katibu wa JF..... Tiririka tuone ni akina nani wenye nyota na matarajio ya kuwa viongozi...!!!
 
Mweka hazina asija akawa wa kabila la kibastola... Mtajuta..
 
Kwann mnakimbilia uweka hazina?!!! Why!!! Kwanini
 
Mfano ikatokea tunachagua viongozi wa JF...... Je! ungependa nani awe Mwenyekit, Nan mweka hazina na nani awe katibu wa JF..... Tiririka tuone ni akina nani wenye nyota na matarajio ya kuwa viongozi...!!!

mweka hazina krisss Lukosi
 
Mfano ikatokea tunachagua viongozi wa JF...... Je! ungependa nani awe Mwenyekit, Nan mweka hazina na nani awe katibu wa JF..... Tiririka tuone ni akina nani wenye nyota na matarajio ya kuwa viongozi...!!!

Mwenyekiti mimi.
 
Mweka hazina asija akawa wa kabila la kibastola... Mtajuta..
Wenyewe siku hizi wamehamia digitali, vibastola tu..... na wale wa analogia yakujinyonga wanataka hamia hiyo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…