Inakuhusu hater!!

pathfinder_tz

JF-Expert Member
Mar 4, 2018
356
377
Kuna wale watu humu jf wenyewe kaz zao kutoa kasoro kila kitu watu wanachopost( threads) wanaona kama wenzao hawana kaz za kufanya wamesahau na wenyewe mpaka kuamua kusoma what is goin kwenye jf inamaana huna cha kufanya pia..
Utasikia et ungekuwa unakaz ya kufanya usingea angaia kuandika upuuz huo au utamsikia hayo ni mawazo ya mtu aliekosa kaz za kufanya.. au huo muda ungetumia kutafuta hela ungesaidia familia yako..

Hebu jiulize unajua what i earn kwa siku ,week au mwez!?
Je ww muda wa kusoma na kucomment unaupata wap!? Je wewe unakaz ya kufanya!? Kwa kuacha kuandika thread unaisaidia familia yako!?
Au ndo nyie mnaochukia kila kitu bila sabab za msingi!?
Usifos watu kuwa sawa wote wakawa na mawazo kama ya kwako!? Hatufanan hata midogo.
Tunapita njia tofaut na tuna experience mambo tofau na ndio maana tuna share na marafik ili nao watoe comments m sure kuna watu wanajifunza kupitia hiz thread, wengine wanafurah na kuwa intertained na thread za kuvutia na kuchekesha na pia kuna nyuz zngine zna waepusha watu incase mambo hayo yakitokea kwao wanajua jins ya kuya handle..
So pliz hater ur not perfect.. hufanan na mtu yeyote usipokuwa wewe mwenyewe na ndo maana mitandao ya jamii ipo kwamba watu wata share mambo tofaut haijalish ni mambo gan.. so usiwe mtu wa kuponda kila kitu...ushamba wako usimuambukize kila mtu..
M watchin you hater.....
 
Back
Top Bottom