halafu kidole kikitoka puani kinaenda mdomono......khaaaa
kamasi Tamu sana usiombe....
hahahaaa...mkuu u made my day nimecheka mpaka basi....hata ukubwani unaruhusiwa kula ukoko..
Tena hiyo ya kidole ndo baabkubwa,si unajua umri huu huwezi acha kamasi litiririke hadi mdomoni ndo ulilambe....una-apply hiyo kiainaSure it happens wakati tukitafakari ''mambo magumu'' unajikuta ushajichovya kidole puani na kuonja ha ha haaaa...alafu ukijishtukia unazungusha shingo kuangalia kama kuna mdau aliyenote!