blackstone
Senior Member
- Aug 11, 2015
- 147
- 129
Habari wana jf
Kumekuwa na matukio mengi sana mitaani yanafanywa na watu mbalimbali wasomi kabisa unakuta degree masters hadi phd holders.Unakuta msomi kabisa ila kila siku kesi mara kagombana na huyu kesho yule, ivi saikolojia haijamsaidia huyu tena msomi kabisa mara kabaka mtoto wa miaka sita, msomi kabisa kafumaniwa na mke wa mtu,msomi kabisa anashindwa kutatua changamoto zake na anajitangaza kila kukicha kwa watu,msomi kabisa anatukana watu mtandaoni,masomi kabisa anashindwa kujithamini na kutambua mchango wake katika jamii, msomi kabisa unakuta ana doctrine ila hajaoa,enyi wasomi tatizo lenu nini
Wakuu hawa wasomi tatizo lao ni nini......