Inakuaje mwanaume unasikiliza taarabu??

Inakuaje mwanaume unasikiliza taarabu??

Elton John ni mwimbaji nyota duniani wa nyimbo Za BLUES Je wanaume wanaopenda nyimbo na kucheza nyimbo zake nao mashoga wenzie?
Waimbaji wa muziki wa RNB nao mashoga?
Wasiopenda taarabu ni wale wa kuja mjini toka shamba!
Taarabu ni kama blues music , wapendanao huambiana na kupeana mahaba huku wakicheza au kusikiliza!
Kwa hiyo siyo kweli kuwa mwanaume akipenda/kucheza taarabu ni shoga !
Kuzani hivyo bila kutikisha kidole ni Ushamba !
Na hapa ndo tutawajua wakuja!
Samahani Kwa kuyasema hayo Ila mmenishangaza sana!
 
naomba nikuombee huku huku nilipo nahisi upako utakushukia mkuu... naona dishi lako limeyumba..!!!!
 
Hata yule mzee kaacha kuimba hizo mambo, then we chunguza kwa undani zaidi na si ushabiki maandazi waimba taarabu wa kiume yaani wepesi wanajiachia sana, sababu kuimba taarabu sio kama kuimba hip hop lazima vidole uviyumbishe we unadhani nn hapo sasa???
Mtu kishachuma mpunga wa kutosha tena ana manyumba na mabiashara huku pochi bado ikiwa nene.
Leo ndio unatuambia kaacha...
 
Ule ni mziki wa pwani ni sawa na mdundiko segere na nyinginezo huwezi kukuta asili ya kwenu na kuicha ndio maana wengi mnaiga mpaka yasiyoigwa kuangalia vitu wanavyofanya majuu huko na kuleta nchini na kudharau vya kwenu
Taarab kuna zile za kusutana na kuna zile zenye maadhi ya mapenzi ni wewe msikilizaji ujichagulie tu
Yah ni kweli kabisa
 
Taarab Asilia ni nzuri sna na inameneno mazuri yaliosanifiwa katika kila ubora,wacheni kujazana sumu waskilize culture musical naad akhwan safaa nakina sinti binti saad utaelewa uzur wa taarab.
Hizi modern ntaarab mbwembwe nyingi kma bongo fleva.
Duuh. Nimejikuta nakuelewa tu Mkuu.

Sesten Zakazaka njoo uone alichokiandika Amor kwani nimejikuta nakukumbuka maana nishawahi ona unaandika sehemu kuhusu hiziTaarab asilia.
 
Kama mada inavyojieleza
Nauliza inakuaje wewe mwanaume kamili rijali unakaa na kuanza kusikiliza nyimbo za taarabu??
Wakati nimesimama pale mataa ya Buzuruga naskia music mnene wa taarabu kutoka gari la jirani,kuchungulia ndani nawaona masela ndo wanaskiliza tena kwa furaha kweli kweli

Music wa taarabu unapendwa na wambea,wanawake na mashoga sasa wewe dume komavu unapata wapi hisia za kusikiliza nyimbo zilizojaa vijembe na gubu?

Mwanaume sikiliza HIP HOP,Bolingo ndomboro ya solo,hizo taarabu waachie wadada na mashoga.
Hizo hipop zenyewe vidole vipo juu pia. Alafu afro pop, bongo flava wanakata viuno hata kuliko taarab. Sema labda unachukia taarab tu kweny
 
Duuh. Nimejikuta nakuelewa tu Mkuu.

Sesten Zakazaka njoo uone alichokiandika Amor kwani nimejikuta nakukumbuka maana nishawahi ona unaandika sehemu kuhusu hiziTaarab asilia.
Hajar nakubaliana ma AmorEy kwa asilimia mia. Siku hizi hakuna taarabu bali uchafu na uchafuzi tu wenyewe wanaita Taradance!

Wasikilize Culture na Nad Ikhwan Swafaa au Malindi ukipenda, kisha rudi nyuma enzi za kina Almarhum Shakila Said, Mwanahela
Asma Hani, Sharmila, Ursulla kwenye mashairi ya kumtoa nyoka pangoni(sio nyoka yule lakini) na sauti za vinanda haswaa

Nenda nchi jirani ya Kenya utafute nyimbo za kina Matano Juma, Juma Bhalo(Mungu Amrehemu), Maulid Juma, Zuhura Swaleh na wengineo uone utajiri wa muziki wa taarabu asilia

Siku hizi hakuna kitu na ndio wanatukanisha Taarabu hao
 
Yabidi na mie nizitafute maana nawakumbuka hao kina Juma Bhalo, Malika, Shakila kipindi nipo nyumbani Mama alikuwa na Kaseti zake na tulikuwa tunasikiliza na ni nyimbo zilizokuwa na maudhui mazuri mnooo.
 
Mashairi mazuri, maudhui mazuri, sauti nzuri na hata kama wanazungumzia mambo mazito ya ki mahaba na mawada basi hua ni kwa staha na tafsida

Nimekumbuka kweli Hajar yupo na mwanamama wa Kikenya mwenye asili ya Somalia Bi Aisha Abdou a.k.a Malika

Tafuta hizo nyimbo usikikilize utamu wake. Kama ukishindwa kuzipata nnazo kwenye library yangu, nitakuwekea hata kwenye flash, si wajua pakunipata eeh?
 
Kama mada inavyojieleza
Nauliza inakuaje wewe mwanaume kamili rijali unakaa na kuanza kusikiliza nyimbo za taarabu??
Wakati nimesimama pale mataa ya Buzuruga naskia music mnene wa taarabu kutoka gari la jirani,kuchungulia ndani nawaona masela ndo wanaskiliza tena kwa furaha kweli kweli

Music wa taarabu unapendwa na wambea,wanawake na mashoga sasa wewe dume komavu unapata wapi hisia za kusikiliza nyimbo zilizojaa vijembe na gubu?

Mwanaume sikiliza HIP HOP,Bolingo ndomboro ya solo,hizo taarabu waachie wadada na mashoga.
Hebu shangaa na wewe
 
Back
Top Bottom