Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,011
- 31,798
Mi nikiuta mwanaume anasikiliza taraabu najua kuna waya umepungua kichwanmi naona ni mbaya mwanaume kumkuta anaimba taarab ila kama anasikiliza haina shida sana...
Mi nikiuta mwanaume anasikiliza taraabu najua kuna waya umepungua kichwanmi naona ni mbaya mwanaume kumkuta anaimba taarab ila kama anasikiliza haina shida sana...
Nimeona aibu Mimi huyo mwanaumea au?Kwa Daslam naunga mkono hoja.... View attachment 862852
Usifananishe Hip Hop na mambo ya kijingaNi namna unavyoichukulia taarabu.
Kuna waimba hip hop ni wala unga, je mtu akisikiliza hip hop naye anatakua mla unga?
mweeeh!Kwa Daslam naunga mkono hoja.... View attachment 862852
Ni namna unavyoona wewe.Usifananishe Hip Hop na mambo ya kijinga
sipendi taaarabu ila sio sahihi kusema ni special kwa wanawake wambea na mashogaaKama mada inavyojieleza
Nauliza inakuaje wewe mwanaume kamili rijali unakaa na kuanza kusikiliza nyimbo za taarabu??
Wakati nimesimama pale mataa ya Buzuruga naskia music mnene wa taarabu kutoka gari la jirani,kuchungulia ndani nawaona masela ndo wanaskiliza tena kwa furaha kweli kweli
Music wa taarabu unapendwa na wambea,wanawake na mashoga sasa wewe dume komavu unapata wapi hisia za kusikiliza nyimbo zilizojaa vijembe na gubu?
Mwanaume sikiliza HIP HOP,Bolingo ndomboro ya solo,hizo taarabu waachie wadada na mashoga.
Huyo tayari amewatia khasara wazazi wake....tehteehhNimeona aibu Mimi huyo mwanaumea au?
Huyo awezi fika huku Ushirombo aiseeee......[emoji53] [emoji53] [emoji53]mweeeh!
Duuuh kweli hasara si pesa tu na Mali hata huyu ni hasara taslmuHuyo tayari amewatia khasara wazazi wake....tehteehh
watakuwa wametoka dar tu hao maana wakitoka nje ya dar huwa wanakuja na mbwembwe sanaBuzuruga ni Dar?
Naunga mkono hojaDuuuh kweli hasara si pesa tu na Mali hata huyu ni hasara taslmu
Tuko pamoja mkuuNaunga mkono hoja
Anaanzaje sasa [emoji19]huko ndo sehemu yao.Huyo awezi fika huku Ushirombo aiseeee......[emoji53] [emoji53] [emoji53]
Bora aishie hukohuko Dar
Mimi nilivyokuwa Tanga nilisikiliza sana Taarabu na kununua DVD nikawa nazo kwangu ili kuvutia mabinti wakija wanataka kuangalia taarabu, cha kushangaza nilivyotoka huko sizipendi kabisaKama mada inavyojieleza
Nauliza inakuaje wewe mwanaume kamili rijali unakaa na kuanza kusikiliza nyimbo za taarabu??
Wakati nimesimama pale mataa ya Buzuruga naskia music mnene wa taarabu kutoka gari la jirani,kuchungulia ndani nawaona masela ndo wanaskiliza tena kwa furaha kweli kweli
Music wa taarabu unapendwa na wambea,wanawake na mashoga sasa wewe dume komavu unapata wapi hisia za kusikiliza nyimbo zilizojaa vijembe na gubu?
Mwanaume sikiliza HIP HOP,Bolingo ndomboro ya solo,hizo taarabu waachie wadada na mashoga.
hahahaa hiki ki-vespa daaahh ina maaana ras huwa anawatafuna machoko ""!!!?? AiseeKwa Daslam naunga mkono hoja.... View attachment 862852
Naunga mkono hoja...tehteehhhahahaa hiki ki-vespa daaahh ina maaana ras huwa anawatafuna machoko ""!!!?? Aisee
Dume zima linacheza taarabu huku vidole viko juu?Watanzania wakati mwingine tujifunza kuelewa maana ya uhuru kuchagua kile mtu akipendacho bila kukera wengine.
Taarabu ni nyimbo kama zilivyo nyimbo zingine so ukiona mtu anaipenda ujue amevutiwa tu na huo wimbo kama wewe ulivyovutiwa na HIP HOP.
Ila mimi banafsi sijawahi kupenda nyimbo za taarabu wala singeli maana huwa sielewi wanachoimba.