Inakuaje kama Mwanachuo akilipotezea somo alilo-sap?

Unarudi nyumbani kufuga kuku, au kuendeleza shamba aliloacha Bibi na Babu
 
Utagraduate vipi sasa hata kama hautadisco?..

Lazima ufanye tu hata kama ni miaka 10 mbeleni
 
Kirahisi hivyo?

Ukipotezea wajumbe wanakata jina lako
 
Atakuwa amejifanyia mazishi ya kitaifa mwenyewe
 
Discontinuity
Discontinuity inamhusu huyo
Unarudi nyumbani kufuga kuku, au kuendeleza shamba aliloacha Bibi na Babu
Kirahisi hivyo?

Ukipotezea wajumbe wanakata jina lako

Sent using Jamii Forums mobile app
Utagraduate vipi sasa hata kama hautadisco?..

Lazima ufanye tu hata kama ni miaka 10 mbeleni
Atakuwa amejifanyia mazishi ya kitaifa mwenyewe
Kumbe mimi ndiyo nilikuwa nabisha nisichokijua!

Nilijuaga kama GPA ipo vizuri, mwanafunzi anaweza kuacha kusapua Supplementary aliyonayo.
 
Kuna umuhimu wa wazazi kuwa na password za ARIS account ya mtoto wake.. Watoto washenzi sana, anaweza akapostpone mwaka na mzazi asijue, mzazi anaendelea tu kulipa ada kumbe mtoto yupo mtaani anaishi maisha ya kubet au wa kike analea mimba.
 
Hahahahaha dogo chuo na shule ni vitu viwli tofuati,,,,Ata uwe na gpa ya4.8 ila kama kuna somo ata moja haujafika passmark huwez graduate tofaut na mwenzako ata awe na 2.7 bt kakamilisha passmarks za kila somo!!!!!!!
 
Kuna umuhimu wa wazazi kuwa na password za ARIS account ya mtoto wake.. Watoto washenzi sana, anaweza akapostpone mwaka na mzazi asijue, mzazi anaendelea tu kulipa ada kumbe mtoto yupo mtaani anaishi maisha ya kubet au wa kike analea mimba.
Iko mifumo mingi sio ARIS tu
.... SR (Udom)
... SARIS (CBE, MASOKA, IAE)
... SIS (Hombolo)
.... OSMS (saut nk)
 
Back
Top Bottom